Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,583
6,633
Ramesh Patel Mgombea Ubunge Ukonga Dar, akamatwa na Takukuru akitoa Rushwa Check Point Pugu

Je kwa mfumo huu wa kutoa rushwa katika Hatua ya Kura za maoni na hata kampeni kubwa,wananchi wataweza kuwachagua viongozi bila ushawishi wa Fedha?na Kiongozi kama Ramesh Anatufundisha nini?

patel 4.jpg

patel 3.jpg
 
CCM inasemaje kuhusiana na tuhuma mbalimbali zinazotolewa za rushwa dhidi ya makada wake mbalimbali.NOTHING
 
CCM Rushwa iko kila mahali wanamuonea bure huyo muhindi wa watu,

Uchaguzi wa serikali za mitaa CCM walitembeza rushwa vibaya sana,

Badala ya kuanza na kuwakamata wale watuhumiwa wa richmond, epa, escrow, raddar, wanakamata huyo dagaa huo ni uonevu!
 
Kama Zungu jana alipita Kariakoo akimwaga Pwedha.... Hili Hindi watu wamelichoka sana... halina linalofanya limeshindwa hadi Maji sehemu sumbufu zenye watu wengi
 
Hii imetokea lini maana jana alikuwa kwetu akiwa pamoja na wagombea wenzake akina Jerry slaa na wengine. Wamekuja kata ya majohe
 
Mleten ukawa tumfundjshe tabia njema

Mmekulahelazake alafu mnamchoma wab aya sana ccm
 
Mkuu ukiona watu wanamkamata mtu kwa kosa hilo ujue kuna jambo. Si yeye tu anafanya kosa hilo.

Kweli kwa kuwa wanaokamatwa ni wengi na si yeye peke yake inawezekana utoaji wa rushwa ni halali kipindi cha uchaguzi so there is no need for whistle blowing au tatizo ni impunity.Maana hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya watuhumiwa.
 
Back
Top Bottom