Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanganyoka tunapigwa na kitu kizito. --- Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TLS uliomalizika umeghubikwa sana na mivutano ya kichama kwani rais mpya wa TLS aliyechaguliwa, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa nchini?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa Taarifa tu Hawa Makatibu wa Kanda ndio Injini ya Chama kwenye Kanda hizo, hawa ndio Watendaji hasa wa Chama na ndio Walinzi wa Mali na Nyaraka za Chama, Hateuliwi mtu wa hovyo tu kuwa Katibu...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo mh Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari. Kadhalika Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Tanganyika mh Freeman Mbowe...
1 Reactions
3 Replies
620 Views
Mkurugenzi wa Chadema mh John Mrema amesema kada wa CCM Mchungaji Msigwa hana hadhi ya kujibiwa na Chadema Mrema amesema Mchungaji Msigwa anakopi Hoja za Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe alizotoa...
2 Reactions
8 Replies
771 Views
Japo alikua anazungumza na waalimu ila aligusia mambo mengi ambayo hata wakati huu yanatuhusu sana. Nukuu niliyoipenda ni ile ya maskini ama mnyonge hana cha kupoteza inapokuja suala la kudai...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
5 Replies
686 Views
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete amesema Watu Wengi hufikiri Demokrasia ni Uchaguzi kumbe siyo bali Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi kwani ina mambo mengine mengi Mzee Kikwete amesema kukiwa na...
0 Reactions
2 Replies
567 Views
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu...
2 Reactions
6 Replies
596 Views
Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?
16 Reactions
86 Replies
3K Views
My Take Mbeya hatuwezi mpoteza Mbunge wa Viwango kama huyu tukamchagua yule Babu Mabangi,huo ujinga wafanye watu wa Arusha.👇👇...
3 Reactions
91 Replies
2K Views
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background...
0 Reactions
5 Replies
619 Views
Tanzania bara tuna rate ndogo ya udini lakini tunakokwenda siko, tukiyapuuzia tutajifunza kwa consequences. Kuna video naiona baadhi ya miradi kama Airport wanaanza kuweka vyumba maalum kwajili...
4 Reactions
9 Replies
460 Views
Mwaka 2006 vijana watatu ndugu wa familia moja ambao walikua wafanybiashara wa madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro pamoja na dereva taxi wao waliuawa kikatili na serikali ya CCM chini ya agizo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii...
14 Reactions
226 Replies
29K Views
Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar. Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo...
0 Reactions
10 Replies
633 Views
Mwabukusi na "PC" yake anapotosha ukweli... Anawaita ndugu zetu kuwa ni WAMASAI...hapa anaunga mnyororo wa WAPOTOSHAJI WA NDANI NA NJE. Hii ndio FIMBO YAO KUBWA....wengi wa watanzania wenye...
1 Reactions
62 Replies
2K Views
Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya...
6 Reactions
8 Replies
613 Views
Rais Samia amezitaka Jami zinazoishi maeneo yenye Vivutio vya Utalii kuendeleza Mila na Desturi za maeneo hayo Ili kulinda Heshima ya Mila hizo na kuendelea kuvutia Watalii Source: Clouds media
1 Reactions
14 Replies
720 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…