Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za Sabato! Harakati na siasa ni kama mchezo wa Draft au wale wakulungwa wanacheza Chess games. Mtu yeyote anayejua kucheza Draft kikamilifu basi harakati na siasa hazitamsumbua. Kwenye...
5 Reactions
70 Replies
798 Views
Tuzo hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) ambaye pia ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt...
3 Reactions
47 Replies
738 Views
CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani. Prof Assad amesema "Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya...
21 Reactions
125 Replies
3K Views
Aibu hiyo Kabambe imemkuta katika Mkutano uliohusisha Madereva wa bodaboda Anatuhumiwa kuwasilisha bungeni hoja ya bodaboda kuchangia elfu 1 kila siku ili wajenge barabara za Mbeya Mkutano huo...
10 Reactions
20 Replies
500 Views
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa Serikali imezitaka mamlaka za TPDC, PBPA na EWURA kuhakikisha kuwa punguzo la bei ya mafuta katika soko la dunia linaanza kuonekana kwa wananchi...
2 Reactions
8 Replies
384 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo...
0 Reactions
Replies
Views
Je watafanikiwa ? Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar. Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa...
9 Reactions
12 Replies
462 Views
Rais wa Kenya William Ruto ameonya dhidi ya aina yoyote ya machafuko, uharibifu wa mali, au kutatiza huduma muhimu kabla ya maadhimisho ya wiki ijayo ya maandamano ya kupinga serikali ya Juni 25...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
"Mheshimiwa Spika, zipo tetesi katika baadhi ya maeneo kwamba viongozi wapo kama wamepigwa ganzi. Wanasubiri nini PDF, mkeka, teuzi. Haya ni mambo ya ajabu. Mambo ya ajabu. Kuwa ofisini na...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa...
2 Reactions
8 Replies
187 Views
Mh Rais hapo chini nimeweka nakara ya barua kutoka kwa mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigela, mh Rais mkuu huyu wa mkoa amegeuka wakala wa matajili wa Geita hautetei sisi wanyonge wa taifa hili...
3 Reactions
34 Replies
573 Views
"Aidha, kupitia utaratibu mpya wa utoaji wa mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, ninazieelekeza taasisi za fedha na waratibu wa mikopo hiyo, kuondoa masharti magumu...
1 Reactions
3 Replies
105 Views
Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia...
8 Reactions
28 Replies
444 Views
Kufanya vizuri katika kuchangia Chama , sio kwamba anayetoa Pesa nyingi. Kutoa Pesa nyingi ni jambo jema kwa kadiri ambavyo Mtu anabarikiwa !!. Tuangalie ' Consistency' ya Mwanachama katika...
10 Reactions
19 Replies
176 Views
Yaliyozungumzwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, kuhusu tukio la Waziri na suala la uvuvi; "Niliona klipu nyingine ya waziri anashindwa...
6 Reactions
25 Replies
573 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ameshangazwa na madai ya kuambiwa ana uchu wa madaraka Heche amesema hayo Alhamisi Juni 25, 2026 wakati akizungumza...
2 Reactions
8 Replies
301 Views
She was calm,honest and had a forever loving attitude towards all the Cubs and kittens. Genuinely intended to bring peace, prosperity and healing. Unfortunately those persistent stubborn...
0 Reactions
7 Replies
240 Views
Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5...
8 Reactions
20 Replies
320 Views
Mpaka sasahivi Baba Levo ndo MBUNGE Bora, anafatiwa na simai aliyemwambia Nchimbi ni msaliti🤣😂 kama ndo hivyo nauliza kwa Nini majeshi hamtaki watoto waliomaliza darasa la 7 wawe wabunge? Baba...
2 Reactions
2 Replies
126 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…