Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni Bahati Mbaya kwamba hukufika kwenye Mdahalo huo kwa sababu unazozijua Mwenyewe. Niliamini kwamba kwa vile Wakati wa Mradi huo wewe ulikuwa kiongozi wa Uvccm pamoja na Sukwa Said Sukwa wa...
4 Reactions
13 Replies
977 Views
kila mtu ajiulize imeitendea nini Nchi CCM , je tuko kwenye muelekeo sahihi kisha afanye maamuzi . nadhani historia ya Nyuma kwa CCM ndio kipimo kikubwa zaidi haihitaji kukusanyana na kupeana...
1 Reactions
9 Replies
532 Views
Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu. Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha; 1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani. 2...
1 Reactions
1 Replies
874 Views
Siyo kweli kwamba Viongozi wa CCM ni Waoga wa Midahalo bali ni ratiba tu ndio zinawabana ukizingatia ni Chama Tawala Mtangazaji nguli Mchungaji Mbogo aliwahi kuwakutanisha Nape Nauye na John...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti. Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya...
3 Reactions
6 Replies
571 Views
Najiuliza tamasha hili nani anafadhili? Limejaa watumishi wa Mkoa wa Mwanza nadhani ndiyo wameanzia mwanza ila hii CHALLENGE inaenda mikoa YOTE! Walimu hawajaachwa nyuma. wana kwaya nzuri sana...
4 Reactions
16 Replies
855 Views
Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza ikumbukwe kuandaa Mdahalo ni gharama! Turudi kwenye mada, Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesusia Mdahalo Kwa sababu Dr Nchimbi hajahudhuria hali iliyopelekea Makatibu Wakuu wa CUF na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya...
0 Reactions
3 Replies
413 Views
Akihitimisha hotuba yake muda huu katika mashindano ya dunia ya kuhifadhi Quran kwa wanawake. Katibu Mkuu wetu wa BAKWATA ametuasa dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia pamoja...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji. Ukweli ni kwamba mafuriko...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Nakumbuka Kwenye ule mwaka wa mwanzoni ya 2000, aliyekuwa IGP wa wakati ule, Omari Mahita, alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kudai kuwa wamekamata "container" lenye visu vya chama Cha...
1 Reactions
1 Replies
592 Views
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini! Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Ninamuangalia hapa Odemba analia kwa kuwa Nchimbi amekimbia mdahalo, lakini ikifika mwaka 2025 hawa hawa Star TV, wataomgozana na mgombea wa CCM na kamwe kampeni za vyama vingine watazipa kisogo...
1 Reactions
4 Replies
625 Views
Ninakumbuka kulikuwa na Wabia waliopewa Tanesco waliitwa NET GROUP SOLUTION, Sikuwahi kuona wakilazimisha Wafanyakazi wa Tanesco kuhamia kwao. Kwanini DP WORLD wanafanya hivi, au labda kwa vile...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna vijana wapo kwenye taasisi za kibiashara ambao kwa ujumla hawana exposure. Kuna mambo yanafanywa na taasisi za umma ambayo naamini siyo shirikishi. Zanzibar Insurance wametoa tangazo...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu. 1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi 2. Huenda haamini Sana kwenye...
3 Reactions
8 Replies
883 Views
Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela. Huku...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom