MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,261
- 2,744
Ninamuangalia hapa Odemba analia kwa kuwa Nchimbi amekimbia mdahalo, lakini ikifika mwaka 2025 hawa hawa Star TV, wataomgozana na mgombea wa CCM na kamwe kampeni za vyama vingine watazipa kisogo.
Sasa hivi wanajiliza lakini 2025 hawa hawa ndio watakuwa hawataki kurusha chochote cha CHADEMA.
Sasa hivi wanajiliza lakini 2025 hawa hawa ndio watakuwa hawataki kurusha chochote cha CHADEMA.