Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa ushauri kwa Jamii kuwatumia Wazee kupata uzoefu na maarifa huku akiweka msisitizo wa kauli aliyowahi kuambiwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwamba ukitaka...
7 Reactions
73 Replies
4K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hatuwezi kuwa na Taífa la matapeli, wanyonyaji na dhulma tupu. Alafu serikali ibariki unyonyaji huo. Inashangaza kumwona Kiongozi akishadadia na kuhamasisha...
3 Reactions
3 Replies
812 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada. Katika mazungumzo yao, Mhe...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya ndugu John Pombe Magufuli. #Ni tarehe 29 oktoba ya NEEMA Tele.
10 Reactions
69 Replies
6K Views
Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa...
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali. Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio. Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mbunge wa Chemba, Mohammed Moni ameuliza Swali leo bungeni ambapo amelalamikia asilimia 80 ya miradi ya Maji haijakamilika akiitaja miradi hiyo kwa idadi Isiyopungua 17, Mbunge huyu wa Chemba...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Yunus Nurdin amechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Mihima kilichopo Jimbo la Mtama Mkoani Lindi. Yunus na wenzake walikuwa CCM, wamejiunga ACT wazalendo na kupokewa na Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI. Zoezi hilo...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa. Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa miaka mingi tangu nianze kushiriki chaguzi ze serikali za mitaa, sijawahi kuona uchaguzi ambao CCM itashinda vijiji, mitaa, na vitongoji vyote kama mwaka huu. Ukitaka kujua hili tazame...
2 Reactions
14 Replies
974 Views
Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Nawasalimu nyote katika Jina la JMT Sasa naomba Majawabu ya Maswali yote matatu Ili niweke sawa kumbukumbu Zangu Ahsanteni sana cc: Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla
3 Reactions
15 Replies
494 Views
Ni wazee wastaafu wa mashirika yaliyokuwa chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kama Posta, railway n.k Kwa kawaida huwa wanapokea pensheni zao kila baada ya miezi 3 lakini safari hii mpaka leo...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli. Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo...
0 Reactions
3 Replies
493 Views
Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile. Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili...
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Ni wazi kuwa Tanzania ipo katika msimu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Hii itafanywa kwa...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Salaam Wakuu, Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni...
1 Reactions
1 Replies
356 Views
Tunakumbushana tu wakati tukimtafuta Waziri anayetamba Awamu hii ya 6 japo Dr Mwigullu ndiye anaonekana zaidi Ahsanteni sana 😄
4 Reactions
16 Replies
882 Views
Back
Top Bottom