Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Albert Chalamila akizungumza hivi leo.kuwa uongozi wa Mkoa upo Tayari kuwajibika Ikigundulika kuwa kuna uzembe...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul...
91 Reactions
2K Replies
175K Views
Naishukuru sana serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya mmiliki wa jengo, naomba kuisaidia Jeshi la Polisi kuendelea kusaka taarifa zaidi za tukio hilo lakini kinachosemwa pale kariakoo na watu...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Hossein Alvandi Bahineh ambaye amemaliza muda wake...
1 Reactions
2 Replies
379 Views
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Hii ni mara ya pili...
19 Reactions
116 Replies
9K Views
Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna...
0 Reactions
6 Replies
683 Views
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasheria, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanasiasa mashuhuri wa Tanzania. Amekuwa akihusishwa sana na harakati za kutetea demokrasia, utawala wa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ufupi: Kauli na hoja za Paul Makonda na majibu yake: HOJA #1: Tundu Lissu ni mchanga kwake (Makonda) kisiasa. Kauli hii ina ukweli wowote? JIBU: ➡Ni mwongo, mzushi. Tundu Lissu yumo ndani...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook; Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza...
28 Reactions
89 Replies
6K Views
Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na...
15 Reactions
123 Replies
8K Views
Siasa bhana Utakuta CHAWA Wanataka kiuwana kumbe Washua wao hawanaga Uadui wowote ni swagger za Siasani tu Kwako Lucas Mwashambwa 😂😂🐼
1 Reactions
11 Replies
647 Views
Sikumbuki kuwaona Mwalimu Nyerere au Mzee Mtei wakiwa wamevalia sare za vyama vyao kwenye matukio ya kitaifa Sasa Sijui huu Ushamba wa kuvaa Sare za vyama msibani kariakoo hivi vyama vimeutoa...
1 Reactions
1 Replies
292 Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya...
1 Reactions
6 Replies
895 Views
18 November 2024 Arusha, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=1m8dUy8nupk Wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali wafanyakazi wa wamefika katika ofisi za mkuu wa mkoa wakidai...
1 Reactions
4 Replies
953 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar...
0 Reactions
2 Replies
608 Views
RC Chalamila amesema Siyo kwamba zoezi la uokozi linaenda Polepole bali ni Mbinu za uokozi wanazotumia Tunatumia Akili kubwa na Ubobezi wa kitaaluma kuhakikisha Wote wanatoka salama amesema...
4 Reactions
13 Replies
754 Views
Hili suala la matumizi ya hizi pesa lingekua limetokea nchini Afrika Kusini sijui mzee Zuma angekua katika hali gani. Kwa majibu ya Ofisi ya waziri mkuu sijui hali ingekuaje! Kwakweli...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu. Nendeni mahakani...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…