MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Hili suala la matumizi ya hizi pesa lingekua limetokea nchini Afrika Kusini sijui mzee Zuma angekua katika hali gani.
Kwa majibu ya Ofisi ya waziri mkuu sijui hali ingekuaje! Kwakweli tumekua wabutu sana wa kuhoji, bado kwa tuliochangia tunayo maswali mengi sana na mtu ukifikiria sana inauma.