Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeamini na huu ndio ukweli kwamba mgombea wa CCM atapoteza kiti chake siyo kwamba hajafanya kitu laahasha, shida kubwa ni mipangilio isyokua na mfumo ulionyooka. Ameshikilia kufanya mambo...
28 Reactions
108 Replies
9K Views
Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura, pesa au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote...
14 Reactions
40 Replies
3K Views
WATUHUMIWA 14 WAKAMATWA KUSHAWISHI MAANDAMANO YASIYO HALALI. Dar es Salaam- 03Novemba, 2020 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na oparesheni kali ya kukamata watu...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Maajabu ya uchaguzi yanaendelea, Lipumba akiwa anaongea na vyombo vya habari ameshangazwa na kitendo cha mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama anachokiongoza cha CUF, Zainab Mndolwa...
22 Reactions
72 Replies
9K Views
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wamewashika watu watatu zaidi kwa tuhuma za kuwashawishi watu kuandamana. Walikamatwa ni pamoja na Baunsa wa aliyekuwa...
10 Reactions
231 Replies
21K Views
Anaandika... Troubled by events in #Tanzania. Serious allegations of irregularities and low number of observers undermine credibility of elections. Reported arrests of opposition leaders are...
14 Reactions
84 Replies
7K Views
Taarifa za hivi punde ni kuwa Vyombo vya Dola jijini Dar vinamshikilia Ndg. Tundu A. Lissu. Lissu amekamatwa muda mchache uliopita jijini Dar akiwa ameenda Ubalozi wa Ujerumani (amekamatiwa mbele...
56 Reactions
569 Replies
50K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu...
31 Reactions
272 Replies
28K Views
Hii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe . Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
22 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wakuu! Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza...
32 Reactions
213 Replies
23K Views
Baada ya kuona watu waliokuwa wanajazana kumuangalia mgombea aliyetoka Ulaya, wengi wa makamanda wakawa wanauliza tuliambiwa upinzani umekufa mbona haujakufa, mkaambiwa kuweni makini hao ni amsha...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of...
46 Reactions
190 Replies
17K Views
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani. Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya...
22 Reactions
175 Replies
11K Views
Rais John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha kuwa baada ya kuibuka na ushindi ataliongoza Taifa la Tanzania kwa...
27 Reactions
181 Replies
15K Views
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako...
74 Reactions
96 Replies
9K Views
Niko hapa nimekutana na "jamaa" yangu aliyekua msimamizi mkuu wa kituo. Daah! Yani nna hasira kweli kweli! Hivi inakuaje mmekula kiapo tena kwa kushika biblia alafu unarudi kituoni mnafanya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Uchaguzi umekwisha. Kwa jimbo la Kawe, Gwajima ndio kidedea kwa miaka mitano ijayo. Sasa Askofu Gwajima kaa chonjo, waingereza husema, you should hit the ground running. Yule dada Halima...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU ------- Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper...
119 Reactions
350 Replies
35K Views
I enjoyed talking with NCCR-Mageuzi’s James Mbatia and hearing his insights gained from 30 years in Tanzanian politics. I hope to meet with candidates and leaders from ALL PARTIES to share...
18 Reactions
168 Replies
14K Views
Back
Top Bottom