Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati CHADEMA Leo wanafanya Kikao cha kamati kuu nimeona niwakumbushe maneno ya Trump kwamba Waafrika ni mabingwa wa Kujidanganya wenyewe kisha wanaua Uwezo Wao wa Kuwa na Fikra mpya Trump...
2 Reactions
0 Replies
278 Views
Mimi ni raia huru, naipenda nchi yangu, kuna mambo yanasemwa mitaani na wananchi kuhusu chaguzi zetu za sasa. Pia nimefanya uchunguzi kidogo maeneo mbalimbali ( hasa mkoa wa MWanza) kwa siku za...
2 Reactions
3 Replies
433 Views
Nauliza tu kama ile nguvu ya Sugu tuliyoaminishwa anayo kisiasa ndio hii? Je, atatoboa 2025 Ubunge mbele ya Dkt. Tulia PhD? Mlale unono
2 Reactions
10 Replies
924 Views
Mwenyekiti wa Makampuni ya Barrick amesema amefurahishwa na maamuzi ya Mahakamani ya kutupilia mbali Shauri lilopelekwa na Wanaharakati wa Tanzania ambao Walioshitaki kampuni hiyo Kwa kile...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri ya kijiji kundi maalumu wanawake na mchanganyiko wameapishwa katika kata tofauti tofauti za wilaya ya Makete mkoani Njombe Uapisho...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani. Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa namna uchaguzi ulivyofanyika ni wazi kwamba CCM wametambua wananchi wengi siyo wakiamini kwenye sanduku la kura. Alianza JPM alipoona wananchi wanacheka naye lakini inapokuja upinzani...
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Kama kuna mtu alitegemea CCM kubwagwa kwenye uchaguzi unaoendelea, basi ana tatizo. Hata kushiriki kwa wapinzani ni tatizo. Mshaambiwa uchaguzi unasimamiwa na TAMISEMI mwenye chama na machawa...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Wakuu, Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa! Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu, Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari? ===== Kupata...
1 Reactions
6 Replies
534 Views
Naona kimya kingi. Sijaona hata sehemu moja wapinzani wameshinda. Naomba mwenye matokeo please... Hapo ulipo wewe chama gani kimeshinda?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa anapaswa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi. Kama mhusika Mkuu wa uchaguzi husika...
1 Reactions
4 Replies
378 Views
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MZIMUNI YAMEJIRUDIA YA MWAKA WA 2020 https://fb.watch/w8Q90VtSG-/ Nimefika kituoni kwangu Magomeni Mapipa Shule ya Mzimuni kupiga kura saa tatu asubuhi na nilikutana...
5 Reactions
19 Replies
956 Views
Uchaguzi wa serikali za mitaa umepita lakini kama kawaida umeacha somo lile lile ambalo vyama wameshindwa kulisoma na kufaulu mtihani wake Ukweli ni kwamba watu wengi hawakipendi chama cha CCM...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi A, Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Lukinga maarufu kama 'Mzee Kiuno' (70) aliyehudumu kwenye uongozi huo kwa miaka 30...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Wenyeviti 36 na wajumbe wa serikali ya mitaa 180 katika Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma wameapishwa tayari kuanza kutekeleza majukumu yao katika serikali za mitaa. Akizungumza baada...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Wakuu, Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya! ===== Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na...
0 Reactions
5 Replies
463 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM imeendelea kuonyesha Umwamba wake katika siasa za Nchi hii na Bara zima la Afrika.imeendelea kuonyesha namna inavyokubalika ,kupendwa ,kuungwa mkono na namna ilivyo na...
7 Reactions
130 Replies
5K Views
Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom