LGE2024 Matokeo ya uchaguzi - Wapinzani wameshinda wapi?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,348
4,447
Naona kimya kingi. Sijaona hata sehemu moja wapinzani wameshinda. Naomba mwenye matokeo please...

Hapo ulipo wewe chama gani kimeshinda?
 
Mchengerwa ana kifua kipana.
Screenshot_20241128_104726_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom