Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa...
1 Reactions
0 Replies
373 Views
Watu 30 wamefariki dunia Kutokana na ajali za barabarani Mkoani Kwa muda wa miezi 2 Kwa mujibu wa habari iliyonukukiwa na gazeti. Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka, uzembe wa madereva na...
0 Reactions
6 Replies
478 Views
Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
2 Reactions
17 Replies
777 Views
Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Kuna category mbili za wanachama wa CCM a) The Selfish b) The ignorant. a) The selfish. Hawa wanufaika wa mfumo moja kwa moja. Wanajua ubaya wote ila wana hofu na mabadiliko kwa kuwa yatagusa...
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Wakuu, Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Wakuu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni...
0 Reactions
9 Replies
956 Views
Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika. Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza...
0 Reactions
17 Replies
594 Views
Mgombea wa nafasi Mwenyekiti wa Kijiji cha Kabwaga, Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Helman Lutambi Mzee amesema Novemba 27, 2024 siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa amedai...
2 Reactions
8 Replies
744 Views
Mawakili wa ADANI wamesema kampuni hiyo ni kubwa na huombwa kuwekeza katika nchi mbalimbali hivyo Mikataba yao haina shida Wamesema hata mashtaka ya mmiliki wa ADANI, mpwa wake na CEO hayahusiani...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57)...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa...
0 Reactions
3 Replies
361 Views
Kuna tatizo gani kama Waislamu wa Tanzania wameamua kujiunga na OIC? OIC ni Taasisi ya Ushirikiano wa Waislamu Duniani na BAKWATA ni Baraza la Waislamu hapa hapa Duniani sasa watajitengaje na...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Wakuu, Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3? Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana ni hatari tupu. Mambo ya ovyo yalifanyika wakati wa uandikishaji, uchukuaji fomu za kugombea, urudishaji fomu, uapishaji mawakala, kabla, wakati na...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Naomba mwanachadema mmoja anipe majukumu ya Kikatiba ya Kamati kuu ya Chadema Natanguliza Shukrani
1 Reactions
4 Replies
364 Views
Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Msimamizi wa Uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
857 Views
Back
Top Bottom