Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Kumekucha tena [emoji1313][emoji1313], Sheikh anena mazito:Kubinafsisha bandari ni haramu na haitakiwi Sheikh na msemaji wa taasisi wa hizbu-tahrir amesema msimamo wao ni kuwa bandari ni mali ya...
52 Reactions
214 Replies
21K Views
Huu Ujumbe wa mchungaji Kimaro umenikumbusha mbali hadi nimeogopa sana 🐼 " Fimbo inayotumika kumuulia nyoka haitunzwi hutupwa mbali Kwa Sababu ina mabaki ya Sumu" Chawa wa Chadema na CCM...
1 Reactions
1 Replies
332 Views
Ni angalizo tu Ni rahisi sana kushughulika na Chadema Mwamba au ACT Wazalendo Ayatollah lakini itakuwa vigumu sana kuwakabili Chadema TAL na ACT Wazalendo OMO tena wakiwa wameungana...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Bado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa. Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani. Updates: -Nachukua fursa hii...
42 Reactions
499 Replies
47K Views
Yaani Polisi Tanzania wanasema wanaanza uchunguzi wa video inayoonesha watu wakijaribu "kumkamata " na "kujaribu kumuingiza kwenye gari". Polisi kwanini wanatumia neno kukamata? Kwanini neno...
0 Reactions
7 Replies
760 Views
Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza...
75 Reactions
300 Replies
32K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao...
9 Reactions
90 Replies
4K Views
Ni mjadala wa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Wanenaji watakuwa Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo, mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob, Wakili Madeleka na Mh...
1 Reactions
11 Replies
888 Views
Wakuu, CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya...
0 Reactions
9 Replies
823 Views
Wakuu, Kuna kitu, hii siyo bure! Hiki kilichotembea iwe ni kifinyo au kibunda itakuwa ni cha maana! ===== Viongozi wa dini na siasa Mkoani Tanga wametoa pongezi na shukrani kwa juhudi za...
0 Reactions
12 Replies
938 Views
Fuatilia mubashara mjadala wa Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaofanywa na JamiiForums kwa Kushirikiana na Start TV. https://www.youtube.com/live/2DskPzSytWY?si=9Ykw6hjtEkxbl7MR...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio...
7 Reactions
15 Replies
993 Views
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je vyombo vya ulinzi haviwezi kumlazimisha ? Je vyombo vya ulinzi vinashindwa Nini kumtaka Rais akaishi Dodoma? Hasara za Rais kutokuwa na makazi maalumu si ni hasara kwa walipa Kodi maana...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda. Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya. Nani atahoji...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Asubuhi niliwaeleza kuwa serikali ya CCM kupitia Mwanasheria mkuu na Waziri mkuu wapo kwenye mchakato mkubwa wakuzuia ripoti ya wizi wa Escrow isijadiliwe na bunge. Sasa, jioni hii baada tu ya...
10 Reactions
512 Replies
86K Views
Wakuu, Watu wenye ulemavu kutoka mkoa wa Tabora wameeleza wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayowakumba wenzao wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wakisema kwamba baadhi ya watu bado wanashikilia imani...
0 Reactions
2 Replies
401 Views
Back
Top Bottom