chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,055
- 27,183
Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda.
Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya.
Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu?
Pasco anaweza, kwa kuwa walau alikuwa na ubavu wa kumuhoji maswali JPM maswali mazito katika wakati ambao hakuna ambaye angejaribu.
Kikeke? Yuko anazindua infrastructure bond.
Jacton Manyerere? Alipewa fursa na JPM aulize swali akaishia kuomba mwaliko wa kunywa wiski ikulu.
Ayoub Rioba? Bado ana chakula mdomoni, hawezi kuongea kwa sasa!