Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wanatumia Rushwa kupata vyeo Wanapata Wanaandaa na Sherehe kusherehekea Ushindi utokanao na Rushwa Wanawapa Machawa Ubwabwa ili washereheshe Na michawa ilivyokosa elimu na Uzalendo hata...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Ubaya ubwela hakuna unyonge == Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Akiwa msibani kwa Faustine Ndugulile Rais mstaafu Dr Kikwete amesema kwa CCM ya sasa kumtambulisha kiongozi wa Upinzani hadharani unaonekana Adui yaani Kirusi. Kikwete amesema hayo wakati...
32 Reactions
158 Replies
10K Views
Leo kuanzia saa moja kutakuwa na mjadala mzito utakaoendeshwa online kuhusu Umuhimu wa Tanzania Katika Mtangamano wa Afrika Mashariki Sote tunakaribishwa...
3 Reactions
5 Replies
460 Views
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na...
20 Reactions
113 Replies
7K Views
Nimetoa tu angalizo kwa Sababu baadhi yetu wanadhani Ubunge ndio ulimsaidia Faustine Kupata Ukurugenzi WHO Ahsanteni Mlale Unono 😀
4 Reactions
13 Replies
507 Views
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100...
5 Reactions
8 Replies
658 Views
Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassann ametoa magari mapya kwa wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Pwani, ili kurahisisha utendaji kazi wa viongozi hao. Akikabidhi magari hayo kwa niaba ya Rais, mkuu wa Mkoa wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa zinaeleza kwamba Huyu Mzee aliuawa tarehe 2 this December na leo tarehe 4 tayari wahusika wamedakwa (Hongera sana Jeshi la Polisi) Hoja yetu ni hii, Ugumu wa kuwakamata Wauaji wengine...
2 Reactions
7 Replies
736 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la Onesmo Simon, miaka 40, askari wa Kampuni binafsi ya ulinzi Kiwango Security na Mwenyekiti wa kitongoji cha...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya kazi Makatibu Tawala wa mikoa 10 na wengine tisa kubakia kwenye...
7 Reactions
92 Replies
14K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko...
3 Reactions
132 Replies
28K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Machinjioni kata ya Bwawani...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo. Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Madaraka yanawapa kichwa sana viongozi waliopo kwenye dora kufikia hatua mpaka kujipa utukufu kuona wengine hawana thamani ya kuishi. Kupindi vyama pinzani vinapitia masurubu mpaka kufika...
1 Reactions
5 Replies
356 Views
Habarini ya Asubuhi Wana Moshi Kila asubuhi, jiji la Moshi linapokea wingu la matumaini na changamoto. Hii ni kutokana na tangazo la hivi karibuni la madaktari bingwa lililotolewa na Mheshimiwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Huyu mwamba jasiri alikuja kwa kasi ya moto wa nyika ila kapotea ghafula. Hatumsikii tena akitoa matamko juu ya ukiukwaji wa haki nchini. Mfano utekaji na kuenguliwa wagombea wa upinzani ktk...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Pole Abdul Nondo nakumbuka niliwahi kuleta uzi kuwa ACT-WAZALENDO hampo salama, nilizungumza kipindi chadema wameratibu maandamano. Kipindi cha maandamano nilitegemea ACT-WAZALENDO watasema...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…