Kiwalani finest
Senior Member
- Jul 6, 2024
- 116
- 85
Watu wanatumia Rushwa kupata vyeo
Wanapata
Wanaandaa na Sherehe kusherehekea Ushindi utokanao na Rushwa
Wanawapa Machawa Ubwabwa ili washereheshe
Na michawa ilivyokosa elimu na Uzalendo hata uieleze Ukweli gani Yenyewe haielewi kabisa
Michawa haiamini kwenye ilani katiba Kanuni miongozo na taratibu
Michawa haiamini kwenye maelekezo chanya ya Viongozi wetu Wakuu wa Kitaifa
Michawa inaamini kwa Mtu yeyote
Awe Jambazi
Mvunjifu wa sheria ilimradi tu Mtu huyo awe anamudu kununua Ubwabwa na kutoa Buku jero michawa itamtangaza Mvunjifu wa taratibu kuwa ni mtu Mwaminifu na Mwadilifu.
Kwa vile tumejuwa tatizo kuu lilipo ni vyama nguvu zetu tukazielekeza kwenye kutafuta ufumbuzi wa kukomesha Wapotoshaji Wajiitao Machawa wasiokuwa na hofu ya Mwenyezi Mungu wenye kujitamkisha neno Mwenyezi Mungu ili kuwapotezea mielekeo watu wa Mungu