Madaraka yanawapa kichwa sana viongozi waliopo kwenye dora kufikia hatua mpaka kujipa utukufu kuona wengine hawana thamani ya kuishi.
Kupindi vyama pinzani vinapitia masurubu mpaka kufika kupotezewa uhai kwa baadhi ya viongozi wa upinzani na wanachama CCM na genge lake wao walipongezana na kugongeana glass za wisk.
Mambo hayakuwahi kuwa nyuturo sasa hasira za watu zimirudi kwenye visasi. Yanayoendelea kwa sasa Tz ndiyo yaliyojengwa kwa muda mrefu na Chama tawala, hili suala la watu kutekana, kuuwawa, na kuumizana ni ishara ya wazi kuwa watu wameingia rasmi kwenye malipizi.
Kama Taifa mwisho utakuwa mbaya sana kama watawala watazidi kujipa utukufu na kujitukuza