Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wameungana kumkataa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Rukia Omary kwa kile walichokidai kuwa kiongozi...
1 Reactions
1 Replies
599 Views
Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive." Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning"...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Wanabodi, Nimepokea taarifa za kifo cha mmoja wa waanzilishi wa chama cha TAA na baadae TANU, Dr. Vedastus Kyaruzi kilichotokea juzi hapa jijini Dar es Salaam na mwili wake kusafirishwa leo...
11 Reactions
104 Replies
20K Views
Tumesema mara nyingi humu JF na kwingineko kuhusu unyama unaofanywa na serikali ya Tanzania kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa Chadema , kwa kuwabambikia kesi za...
30 Reactions
55 Replies
6K Views
Kufuatia kauli aliyoitoa hadharani siku chache baada ya muasisi wa Tanzania, Julius Nyerere kufariki Oktoba 14, 1999 Mtikila alisema “Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI, ni mzoga, nyamafu na...
22 Reactions
45 Replies
7K Views
Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu. Hii inaonesha udugu ambao...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo. Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya? Happy...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Watu wa Dar mko wapi? Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amezungumzia namna ambavyo watu wengi wa Dar wanapenda na kutaka kumiliki ardhi. Chalamila...
3 Reactions
6 Replies
663 Views
Muungwana haaminiki tena, Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena. Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu...
5 Reactions
161 Replies
5K Views
Wakuu, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa mwanachama wake Wakili Joseph Masanja lililotokea Babati Mkoani Manyara. Kupitia taarifa iliyotolewa na...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga. "Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba...
31 Reactions
135 Replies
6K Views
Sabato Njema! Kambi ya Mbowe ingekaa ikatulia, ikatafakari, ikahesabu kila hesabu na chenchi zake. Hakika kama wangefanya hivi wasingemruhusu Mbowe Agombee tena. Ningekuwa kwenye hiyo Kambi...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Jambo moja ninalolilkumbuka ni Chadema kusema kuwa Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa anaongoza kwa kuiga sera za Chadema, wakati Hayati Rais John Pombe Magufuli akiendelea kutekeleza sera...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Heshima kwenu, Leo ni miaka 3 tangu kifo cha mwanasiasa nguli wa upinzani Mchungaji Christopher Mtikila kufariki dunia katika ajali ya gari. Binafsi naamini angalikuwa hai angesaidia kukemea...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Leo nimekaa zangu nimetulia sitaki kuandika chochote, ghafla nakutana na kipeperushi cha polisi kwenye mitandao ya jamii. Nikadhani labda kina taarifa ya muhimu, kumbe ni upumbavu tu umejaa humo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
MBOWE Mwanasiasa ambaye anamafanikio kisiasa na kibiashara.. Ila Leo naangalia upande wa Siasa... Mbowe amekua na ushawishi sana ndani ya Chadema kutokana na nafasi yake.. Ni mtu anaesikilizwa...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
1. Gari yake haijaharibika kabisa na tunaaambiwa iliacha njia na kupinduka tunajua sababu kubwa ya magari kuacha njia ni kupasuka kwa matairi lakini hili gari la Mchungaji Mtikila hakuna tairi...
34 Reactions
772 Replies
129K Views
Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala...
4 Reactions
78 Replies
2K Views
Natoa wito kwa Mamlaka huru kufanya Uchunguzi wa Kifo cha Mtu anayejulikana kwa jina la Celestine Mushi, ambaye inadaiwa amefariki kwa ajali, lakini Mwili wake umekutwa umeungua. Zipo tetesi...
20 Reactions
278 Replies
43K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…