Muda si mrefu Mbowe atutupiwa Virago CHADEMA

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,504
Reaction score
7,439
MBOWE Mwanasiasa ambaye anamafanikio kisiasa na kibiashara.. Ila Leo naangalia upande wa Siasa...

Mbowe amekua na ushawishi sana ndani ya Chadema kutokana na nafasi yake.. Ni mtu anaesikilizwa na wanachama wa Chadema na wafuasi wake na washabiki wa Chadema 98%.

Mbowe kila analolisema ndani ya Chadema hajawai kupata upinzani, na atakae thubutu kuwa nae tofauti, jua huyo amechoka kua mwanachama wa Chadema.. Ataondoka tu..

Mbowe ana bahati sana ndani ya Chama hajawai kupingwa na wanachama wake zaidi ya kuungwa mkono.. Tu... Ata pale anapofanya maamuzi ya kuwayumbisha wanachama wa Chadema na wafuasi wao, wanachama wanaamua kubaki na msimamo wa Mbowe..

Ila kwa jicho langu la mwewe nauona mwisho wa Mbowe.. Mda si mrefu Mbowe atasema, wanachama hawatakua nae safari moja, watapingana nae..

Zitto aliwai sema siasa inamisimu miwili, wa kuzomewa na kushangiliwa kwahiyo lazima uwe makini.. Usichanganye misimu..

Mda si mrefu Mbowe atasema juu ya Chama chake wafuasi watampinga wazi wazi.. Watakua wamemchoka na ujanja Ujanja wake... Anakwenda mbele hatua kumi alafu anarudi nyuma hatua mbili..

Nauona mwisho wake ndani ya Chadema, Ataondoka kwa haibu sana..

Mda utasema...
 
Wewe utakuwa umerogwa vibaya sana ! nadhani umepigwa jini .
 
Toa upumbavu wako
Kama Mandela tunaye hadi ukombozi kamili wa taifa hili
 
Inawezekana unatamani kuwa mtabiri......

Maandiko yanasema waombeeni maadui zenu
 
Watakataa Leo, ila mda utasema tu.. Mtarudi hapa
Usiseme mda utasema tu..
Tuambie ni muda gani ili tuujue na ukifika turudi kukupongeza mzee wa utabiri.

Sote tunatambua hawezi kuongoza milele;
1. maradhi
2. Kukabidhi kijiti
3. Katiba ya chama nk.

Binafsi Mwenyekiti wa Chadema yupo imara na bado anahitaji muda zaidi kukijenga chama mpaka 2020 bado anahitajika kuendelea kuongeza nguvu tuongeze majimbo.

Uraisi ni vigumu kuuchukua 2020 akiwepo Mbowe au asiwepo kwa ngome iliyojengwa ya NEC, wakurugenzi wapya, polisi, wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ndo wasimamizi wa kura ambao wote ni makada.

Trend inavyokwenda Mbowe ataendelea kubaki ila UKAWA utaingia fitina ya madaraka na huenda ukavunjika kwa nguvu kubwa kutoka nje ya ukawa
 
MBOWE Mwanasiasa ambaye anamafanikio kisiasa na kibiashara.. Ila Leo naangalia upande wa Siasa...

Mbowe amekua na ushawishi sana ndani ya Chadema kutokana na nafasi yake.. Ni mtu anaesikilizwa na wanachama wa Chadema na wafuasi wake na washabiki wa Chadema 98%.

Mbowe kila analolisema ndani ya Chadema hajawai kupata upinzani, na atakae thubutu kuwa nae tofauti, jua huyo amechoka kua mwanachama wa Chadema.. Ataondoka tu..

Mbowe ana bahati sana ndani ya Chama hajawai kupingwa na wanachama wake zaidi ya kuungwa mkono.. Tu... Ata pale anapofanya maamuzi ya kuwayumbisha wanachama wa Chadema na wafuasi wao, wanachama wanaamua kubaki na msimamo wa Mbowe..

Ila kwa jicho langu la mwewe nauona mwisho wa Mbowe.. Mda si mrefu Mbowe atasema, wanachama hawatakua nae safari moja, watapingana nae..

Zitto aliwai sema siasa inamisimu miwili, wa kuzomewa na kushangiliwa kwahiyo lazima uwe makini.. Usichanganye misimu..

Mda si mrefu Mbowe atasema juu ya Chama chake wafuasi watampinga wazi wazi.. Watakua wamemchoka na ujanja Ujanja wake... Anakwenda mbele hatua kumi alafu anarudi nyuma hatua mbili..

Nauona mwisho wake ndani ya Chadema, Ataondoka kwa haibu sana..

Mda utasema...

akiona nyota inafifia lazima aende NIGERIA KUNGARISHA , au lazima mtu atolewe kafara chezea mwenyekiti wew
 
Hivi mnalizimishwaga vya kuongea?
 
Hahahaha Ila muda wa Yohana umefika mapema zaidi, alipendwa sana Ila sasa anazomewa na atazomewa zaidi... Kabla ya Mbowe kuzomewa, yeye Atakua amezomewa na kuchukiwa zaidi
 
Back
Top Bottom