Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, 1. Isack Francis Mtinga - MBUNGE WA IRAMBA MASHARIKI Tarehe ya Uchaguzi (2020): Alipata kura 35,457 Elimu Shahada ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine (1999-2003)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyerere Julius hakupenda kilichokuwa kinaendelea Ikulu wakati wa Mwinyi. Akasema ni mahali patakatifu. Kulikuwa na minongono mtaani, redio mbao for that matter kuwa anataka "kumpindua" Mwinyi...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Ikumbukwe mwaka jana yalitokea mauji ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo kule Iringa. Sasa basi, kutokana na kuuliwa kwa dada yule, Viongozi mbalimbali wa CCM Mkoani humo wanashikiliwa na...
1 Reactions
7 Replies
674 Views
Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria. Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki...
0 Reactions
1 Replies
349 Views
Huu uchaguzi haukupaswa kusimamiwa ngazi ya kitaifa kupitia TAMISEMI kama vile ambavyo imekuwa inafanyika au hata kupitia Tume Taifa ya uchaguzi kama ambavyo CHADEMA wanahitaji kuwa hivyo. Huu...
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe...
1 Reactions
3 Replies
600 Views
Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti...
122 Reactions
265 Replies
26K Views
Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini , ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe...
19 Reactions
135 Replies
5K Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
49 Reactions
342 Replies
19K Views
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani. Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya...
40 Reactions
153 Replies
12K Views
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inasambaza mitungi ya gesi 13,020 mkoani Shinyanga. Mitungi ya gesi ya kilo 6 yenye thamani ya shilingi milioni 545.538, Itasambazwa kwa bei...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Wakuu Uchaguzi unapamba moto == Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine Hali imekuwa tofauti...
2 Reactions
4 Replies
591 Views
Wanabodi, Baada ya rais Magufuli kuombea malaika watoke mbinguni kuja kuifunga mitandao ya kijamii yenye uongo na Uzushi kama humu jf, wana mitandao wote resiponsible hatuna budi kuunga mkono...
17 Reactions
93 Replies
14K Views
Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi anayeheshimika, ametoa kazi ya kipekee katika kitabu chake kipya kinachotarajiwa, In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba...
1 Reactions
2 Replies
370 Views
Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua...
3 Reactions
11 Replies
706 Views
Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Kiukweli hapa Kawe hii nyomi Sijawahi kuiona popote Dar es salaam Watu ni wengi wengi mno Nadhani asubuhi kutakuwa na foleni sana barabarani Wengine Wana kanzu na baragashia Jami ya akina...
21 Reactions
51 Replies
3K Views
Erick Kabendera anasema mama yake alikuwa mwalimu wa enzi za ukoloni na ndiye aliyemfundisha yeye na kumpa ujuzi mwingi wa Kingereza, Historia na Uandishi. Anasema nyumbani kwao kulikuwa na...
16 Reactions
50 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…