Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti...
14 Reactions
38 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa. 1. Wawakilishi Team Mbowe...
14 Reactions
139 Replies
7K Views
Bila shaka yoyote ile sasa ni dhahiri kwamba Ben Saanane alikwishauawa kikatili, na ni dhahiri kwamba Maiti yake ilitupwa (Rejea Kitabu kinachouzwa kwa kasi cha shujaa Kabendera) Ninaamini...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale. Wote tunafahamu raisi ni...
16 Reactions
81 Replies
4K Views
Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ? Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Watanzania wengi wanahoji kama Uenyekiti wa Chadema tu ulimtoa Imani na kuondoa Ukomo wa Uongozi itakuwaje Siku akiingia Ikulu?! Wengi wanadhani ataondoa Mihula ya Rais Kwenye katiba na kufanya...
0 Reactions
1 Replies
203 Views
The 47 Most Prominent Tribes in Africa 1. Maasai (Kenya🇰🇪, Tanzania🇹🇿): Migrated from the Nile Valley between the 15th and 18th centuries AD. 2. Zulu (South Africa🇿🇦): Rose under Shaka Zulu in...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Heshima Mbele, Mbowe aifilisi NSSF *Adaiwa milioni 1,200, hataki kulipa *Atumia sheria kukwepa asifungwe *Adai iliyokopa ni kampuni si yeye na mwandishi wetu MWENYEKITI wa Chama cha...
2 Reactions
1K Replies
112K Views
Hebu tujiulize Mhe. Mbunge kwa kipindi cha miaka 4 na miezi 6 amefanyia nini makundi yafuatayo. 1. Vijana ( bodaboda, bajaji, timu za mipira, wanavyuo, vijana wa mtaani, na wahitimu wa fani...
1 Reactions
7 Replies
401 Views
Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for! Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa. Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI...
18 Reactions
47 Replies
2K Views
UHAMIAJI WALIOSHUGHULIKIA SUALA LA KABENDERA WACHUKULIWE HATUA By Unknown06:47TOA MAONI YAKO KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Emmanuel Nchimbi kuchunguza tukio la kusumbuliwa...
17 Reactions
99 Replies
15K Views
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "karma" ambayo ndio hukumu pekee ya haki hapa duniani!. Hii karma wakati wa kuhukumu, haina huruma kwa sababu hukumu zake ni za haki, unaweza...
39 Reactions
316 Replies
27K Views
Wakati mwafaka wa kufanya uchaguzi wa ndani wa Chadema utategemea mambo kadhaa, lakini kwa kuzingatia muktadha wa kisiasa na uchaguzi mkuu wa 2025, ni bora uchaguzi wa ndani ufanyike baada ya...
-1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Shinyanga Mh Ntobi amesema Chadema iliasisiwa 2019 Ntobi hajarekebisha Kauli licha ya Wajumbe kuguna Chadema Kuna vituko sana 😄😄 Mimi niliingia Chadema 1993...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimepewa maono kuwa Rais ajaye baada ya Samia ni Inocent Bashungwa!! Ndoto imenionyesha jamaa akiapiswa mwaka ndio sijajua lakini maono yamesisitiza mara tatu kuwa baada ya Samia ni yeye.
18 Reactions
157 Replies
15K Views
Wengi wataona Mbele ya Pazia kama Mwandishi Kabendera anaonewa, ila kiukweli yaliyojificha ama mambo yanayofanywa na kabendera nyuma ya pazia Sio ya kiungwana, na yanapaswa kulaaniwa na kila...
92 Reactions
425 Replies
41K Views
Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani Soma taarifa hii uone polisi...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali...
28 Reactions
62 Replies
9K Views
Kamanda Mambosasa anasema: Erick Kabandera alikamatwa nyumbani kwake baada ya kukataa wito halali wa Jeshi la Polisi Awali aliandikiwa barua ya wito ajili ya mahojiano lakini alikaidi kutii wito...
8 Reactions
195 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…