Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hadi sasa Bavicha na Bazecha zimechagua Wenyeviti Wasomi wenye Leseni za Kitaaluma kabisa Bado Bawacha na pale juu kabisa Alfa na Omega 😂 Ahsanteni sana🐼
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kumekucha Dodoma, Wajumbe haooo wanaenda kujipanga kuwamaliza Wapinzani (vibaraka) wanaogombea ugali huko kwenye chama Cha Mabeberu. Wajumbe wanasema Wapinzani wameyatimba lazima Wamalizane Nao...
1 Reactions
28 Replies
890 Views
Hatuna shaka na uzalendo wa Lisu wala misimamo yake katika kukataa Rushwa, chama kikiwa mikononi mwake ukombozi wa kweli wa Taifa utapatikana. Magufuli alitenda Mengi Mazuri lakini kama...
3 Reactions
15 Replies
780 Views
Chonde chonde wanaCCM wenzangu. Tusibweteke na anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Tukumbuke kuna uwezekano wa vyama 14 kuleta upinzani mkali kuliko uliokuwa kwa CHADEMA...
3 Reactions
13 Replies
814 Views
Wakuu, Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu...
11 Reactions
109 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi. Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana...
0 Reactions
6 Replies
381 Views
I don’t have a dog in the fight, but I’m starting to see similar kind of vibes between 2017 and 2025 in relation to Tundu Lisu. Mwaka 2017 Lisu aligombea urais wa TLS. Kabla ya uchaguzi huo...
12 Reactions
86 Replies
4K Views
Tundu Lisu hana Bei pamoja na Mapungufu mengi tu aliyonayo Siku ukiona Tundu Lisu amepokea Hela ya CCM na ikathibitika Ujue Siku hiyo ndio Chadema imezikwa rasmi Kimsingi Chadema imeshakufa...
1 Reactions
5 Replies
381 Views
Embu ona! CHADEMA unapozungumzia watu wenye ushawishi, utamtaja Lisu, Heche, Lema, Mbowe na Sugu. Msigwa kama Msigwa angekuwa hajahama CHADEMA angekuwa kwenye top 6 ya viongozi wenye ushawishi...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu. CCM...
1 Reactions
2 Replies
302 Views
Ushauri kwa Lissu: Kujitoa Katika Uchaguzi na Kumuunga Mkono Mbowe Mheshimiwa Lissu, kwa kuzingatia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na mazingira ya uchaguzi wa ndani, kuna hekima kubwa katika...
0 Reactions
7 Replies
515 Views
Namshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama. Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia...
19 Reactions
62 Replies
2K Views
Ni ushauri tu kwa CHADEMA, toka kwa kada wa siku nyingi wa wapinzani wenu CCM. Mnaye kada wa chama chenu Tundu Lissu ambaye anajongea kiti cha uenyekiti wa CHADEMA. Huyu Lissu anafaa nafasi ya...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu upepo ulivyo Mbowe ana nafasi ndogo ya kushinda na kama kweli anatembeza pesa na kukafanyika janja janja akashinda basi chama kitapasuka vipande vipande. Pia haijalishi nani...
1 Reactions
0 Replies
301 Views
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu...
2 Reactions
13 Replies
727 Views
Chama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa...
2 Reactions
21 Replies
925 Views
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu A.M. Lissu amesema kuwa ana hofu kubwa juu ya mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika juma lijalo. Lissu ameyasema hayo...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom