Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moses Mgao, Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Kibaha Mjini amesema haya akiongea na waandishi wa habari "Napenda kutangaza rasmi, sisi wanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Pwani na hasa watu wa Kibaha...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo. Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo...
1 Reactions
2 Replies
639 Views
  • Poll Poll
Yakiwa yamebakia masaa kadhaa uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz) ufanyike, nafasi ya Mwenyekiti ni lipi chaguo lako kama ungekuwa ni mpiga kura kwenye uchaguzi huo?
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Hali iliyopo ya uchaguzi tarehe 21.1.2025 inaweza kukiua chama ambacho ni tegemeo la watanzania upande wa upinzani. Ni mbowe tu akicheza vizuri siasa na akamtanguliza Mungu na maslahi ya chama...
2 Reactions
17 Replies
631 Views
Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu. Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
7 Reactions
81 Replies
3K Views
Mpo salama Kabisa! Kuna Jambo linashangaza Sana. Asilimia kubwa ya wafuasi wa Magufuli wanamuunga Mkono Tundu Lisu licha ya kuwa Wawili hao walikuwa mahasimu Wakubwa. Lakini Leo hii wafuasi hao...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mdahalo ambao umeandaliwa na Chief Odemba hivi karibuni, kada wa CHADEMA, Yeriko Nyerere amesema kuwa siku Mbowe akiwa kwenye machela anaumwa ndio siku watamuua...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma. Aisee hili...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
1. Lissu na Heche watapokea barua na salamu za pongezi kutoka kila upande. 2.Wale ambao wako kimya mpaka sasa watatangaza kuwa walikuwa upande wake siku zote. 3. Sehemu kubwa ya sekretariati...
2 Reactions
4 Replies
398 Views
Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Sababu za kumchagua tena Mbowe 1. Uzoefu wa Uongozi Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda mrefu na ameiongoza chama kupitia changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa ushawishi wa...
1 Reactions
7 Replies
452 Views
Adam Kimbisa, Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi ambao ni wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi wa kamati kuu ya CCM kwa kusema kuwa wao hawapo pamoja na uamuzi wa kamati hiyo utakaosomwa leo...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Samia ndio rais aliyepo madarakani, katiba ya CCM na utamaduni wake inamruhusu kugombea urais, ni mwenyekiti wa CCM, huu woga uliopitiliza wa kuwania urais 2025 unaletwa na nini mpaka aamue...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita...
17 Reactions
56 Replies
11K Views
Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine. Hata uongeaji...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa sasa na kizazi kilichopo Dkt. Emmanuel Nchimbi PhD Ndiye Gwiji la Siasa za CCM Ni Imani yangu kuna nafasi kubwa pale CCM inamsubiri na Muda si mrefu CCM yetu itayarejea makali yake Mlibwanji...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa wadhifa wake kwa tuhuma za kushindwa kusimamia wizara yake, kiongozi huyo ametaka apewe moyo wa upendo na...
1 Reactions
167 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…