Kigeugeu cha Joseph Msukuma, Sophia Simba na Nchimbi

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita na mgombea wa Ubunge hukohuko Geita ni mfanyabiashara.

Baada ya Joseph Msukuma kujiweka mbele kama mtetezi wa Lowassa na hata kuendelea kumsupport Lowassa hata alipobaki CCM, CCM ikautumia mkono wa chuma. Ikambana kwenye biashara zake. Kupitia TRA.Msukuma hakulipa kodi kwa miaka takribani saba. Aliachwa kwakuwa ni wa CCM. Alipoleta za kuleta akabanwa. Mabilioni ya kodi yakamshinda kulipa na kuamua kujisalimisha.

Msukuma si wa kuaminika kama alivyo Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi. Sophia Simba 'alisusiwa' msiba wa nduguye na kuogopa. Akajisalimisha. Nchimbi naye akaogopa kupoteza alivyovichuma akiwa CCM. Akafyata mkia. Ni hao pamoja na Adam Kimbisa ndiyo waliojitokeza hadharani kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM. Hawaaminiki. Lakini, hawa wamekuwa wanachama wa CCM kwa woga tu. Mioyoni mwao wameshahama.

Hiyo ndiyo CCM yetu ilikofika. Kuwa na wanachama wa kuwalazimisha!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
VUTA-NKUVUTE vipi waliokua mbele kutuaminisha kua lowassa fisadi leo wamegeuka wanamkumbatia.
 
Kuichagua CCM Maana yake Wafanyabiashara Wakubwa na Wa Kati Waendelee kupa tax holidays.


Tusipokataa Safari Hii Tutakisha Kabisa.

Umesahau kuwa wafanyabiashara za kifisadi wamemkimbia Tingatinga Magufuli na sasa wapo na fisadi mwenzao UKAWA?UKAWA sasa ndio chama cha mafisadi hao.


Chagua TingaTinga Magufuli,huyu ndio kiboko yao,Mwaka huu wataisoma namba.
 
Alisema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=4CFDwaH3EPM Halafu, akasema hivi:https://www.youtube.com/watch?v=gU29hxl-e9Y. Unajua kwanini? Ngoja niwaambie. Joseph Msukuma, Mwenyekiti wa CCM Geita na mgombea wa Ubunge hukohuko Geita ni mfanyabiashara.

Baada ya Joseph Msukuma kujiweka mbele kama mtetezi wa Lowassa na hata kuendelea kumsupport Lowassa hata alipobaki CCM, CCM ikautumia mkono wa chuma. Ikambana kwenye biashara zake. Kupitia TRA.Msukuma hakulipi





ila huyu mzee ni mnafiki sana,,,msukuma hawezi kuwa upande wa lowasa akaacha kumkampenia magufuli,,,kipindi yuko kwa?lowasa mgombea alikua bado hajapatikana na hivyo msukuma bado alikuwa yuko sawa..
nchimbi na sofia vilevile wametumia kitu kinaitwa COMMON SENSE kutomfuata lowasa.
 
Back
Top Bottom