Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Adam Kimbisa, Sophia Simba na Emmanuel Nchimbi ambao ni wajumbe wa kamati kuu wamepinga uamuzi wa kamati kuu ya CCM kwa kusema kuwa wao hawapo pamoja na uamuzi wa kamati hiyo utakaosomwa leo baadaye na katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Source: Radio Uhuru
Source: Radio Uhuru