Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huenda ni kweli Mbowe hatakiwi na wengi ajitafakari aache kuendeshwa na hao COVID-19
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini? Soma Uzi...
1 Reactions
5 Replies
658 Views
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM. Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu. Hakutaka uamuzi huo uhojiwe. Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho...
0 Reactions
12 Replies
977 Views
Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
3 Reactions
22 Replies
960 Views
Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone. Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote. Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala...
1 Reactions
4 Replies
668 Views
Joto la kisiasa linaloendelea kupanda kila uchwao miongoni mwa kambi hasimu za wagombea uenyekiti wa chadema taifa, huenda likaishia kuwasha moto wa ghasia na fujo kutokana na kujipiga kifua kwa...
1 Reactions
7 Replies
547 Views
Kuanzia jana nimekuwa mtu mwenye furaha sana baada ya Mama Dr Samia kumaliza biashara mapema sana kuhusu urais wa Tanzania kwenye huu mwaka wa uchaguzi. Mama kawamaliza kisiasa wapinzani wa nje na...
1 Reactions
10 Replies
657 Views
Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF. Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani . Hii itaenda...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA. Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki. Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya...
3 Reactions
14 Replies
848 Views
Makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kutoa maoni juu ya hali ya sasa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa uongozi hasa ule wa nafasi ya uenyekiti...
1 Reactions
11 Replies
836 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo ilikuwa ni siku ya Majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana Mbozi na Mkoa mzima wa Songwe.Ambapo ilikuwa ni siku ambayo Aliye kuwa DC wa Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Huyu jamaa kama kachanganyikiwa. Sasa Mbowe akimshtaki mahakamani amlipe faini? Akili hizi ni za kuchanganyikiwa sio za mtu mwenye akili
0 Reactions
15 Replies
783 Views
Mgombea Uenyekiti BAVICHA Masoud Mambo akifunguka A to Z kilichotokea kwenye Uchaguzi BAVICHA baada ya wakubwa kuingilia kati. Source: East Africa Radio My take: Usafi wa Heche na Lissu uko...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
=== CHADEMA kwisha habari yake, Poleni sana wanachadema, Sisi Wananchi hatuwezi kuishi kwenye tawi la CCM bora tuende kwenye mti wenyewe.
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa...
2 Reactions
8 Replies
812 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…