Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia...
3 Reactions
7 Replies
508 Views
Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia. Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Hellow wakuu, Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ukimuona mtu anamsema vibaya Mh Dr Mapango basi juwa nimaumivu na chuki kubwa juu yake kwa uwamuzi wakupiga chini nafasi ya Umakamu wa Rais na kurudi back benches. Ndie waziri pekee wa fedha alie...
32 Reactions
109 Replies
5K Views
Hellow! Wanachadema wameshakuelewa, Umeeleweka Kwa watanganyika, Ni muda sasa wa kuvunja urafiki na uhusiano na ndugu Msigwa ikiwa hatokubali kurudi CHADEMA. Ndugu huyo, kwa kujiunga na...
1 Reactions
12 Replies
714 Views
2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema . Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA, iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo Viva Tundu Lissu , Mungu ibariki Tanzania.
5 Reactions
15 Replies
765 Views
Indepencence Day na Project 2025 ndo itakuwa habari ya mjini ifikapo January 1, 2025. Ndege maalum ya kutoka angani au Spacecraft itatua katika ardhi ya nchi hii na iyakuwa imejaa abiria kadha wa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana. Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa...
23 Reactions
58 Replies
2K Views
"Mbowe na Lissu watakuwa salama…wasiogope" Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa, Charles Odero akizungumza dakika chache kabla ya kuanza kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo...
13 Reactions
73 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na...
11 Reactions
134 Replies
8K Views
Rushwa na vurugu zimeikumba CHADEMA katika uchaguzi wa Taifa 2025 uliofanyika Januari 13 na 16, ambapo mabaraza ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha), na wanawake (Bawacha) yalichagua viongozi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini. Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena. Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
1 Reactions
9 Replies
671 Views
Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
1 Reactions
8 Replies
926 Views
Wakuu, Kumbe suala la kuweka alama lilikuwa kweli bwana. Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Kwa kutumia Kikosi chake Cha FFU kimeimarisha Ulinzi katika maeneo yote ya Mlimani City unakofanyika Mkutano mkuu wa Chadema Source: Mwananchi
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika vitu vilivyonishangaza, ni Mbowe kukosa msimamo wa kueleweka. Leo akiomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu amezungumzia habari za kuingia katika uchaguzi ujao wa 2025. Soma Pia...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom