Dkt. Mpango ndio aina ya wazee tunawataka kwenye Taifa. Hana makuu, hana tamaa ya madaraka

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,891
12,960
Ukimuona mtu anamsema vibaya Mh Dr Mapango basi juwa nimaumivu na chuki kubwa juu yake kwa uwamuzi wakupiga chini nafasi ya Umakamu wa Rais na kurudi back benches.

Ndie waziri pekee wa fedha alie kuwa akiishi nyumbani na sio kwenye pepo za baharini na hii ndio siri yakupendwa kwake na Hayati Magufuli kiasi kupiga simu akiwa hospitali amuone na Watanzania wamuone.
Dr Mpango ndie Eng wa uchumi na mambo yote mnayaona na huyo waziri mtaka sifa pale ametemebelea sana nyota ya huyu Dr Mpango.

Uwezo na akili alizo nazo ziliwavutia wakubwa zake kumsogeza karibu kuanzia JK mpaka Magufuli.

Nimoja ya nyota na tunu tulizo nazo katika Taifa ni bahati mbaya hakushika kiti kwasababu za kibinadam au Mungu mwenyewe. Sio chawa ila nimsema kweli nainaonyesha anachukia uchawa na ameuchukia uchawa kwa maandishi. "Naomba nipumzike"

Huyu ndio aina ya kiongozi tunamuhitaji nina amini JK amelia alipojuwa huyu mwamba ameamua kupumzika ila walamba miguu tumefanya part maana alikuwa mnoko sana kuzuwia vimeo vyetu. Yes hakuna anaweza kuja nakusema vile Dr Mpango nimsumari wa moto kwa majizi ya wizarani na kwenye mfumo.

Hana deal ila peleka pesa bank ya serikali nakama una zawadi kumtunuku basi peleka kwenye akaunti yaserikali mama na mtoto wapate huduma bora ni mwana mapinduzi na mzawa wa kweli katika uzalendo kwa taifa lake.

Nafasi ya umakamu wa Rais ndio ilimtoa home sweet hoem kwenda baharini ila yaonyesha hakukupenda na ameamua rudi nyumbani. Akafuge kuku na kucheza na ujukuu wake huku akikielimisha kizazi kijacho juu ya uzalendo.

Mh Dr Mapango amekuwa mnyenyekevu nakufia ukweli huku akiepuka laana ya Hayati Magufuli kwa yote yanasemwa ameamua kuacha kabisa akijuwa hakuna atake ishi milele na mwamba alikufa akisimamia watu wake wa Tanzania kwa dam na nyama.

Alikuwa nikipenzi cha Magu na amekubali kukaaa pembeni kuipisha gharika ya pili ukiacha ile ya kwanza kwa wale wakiroho tunamuona kama mtu anayo iyona kesho baada ya uchaguzi. Yale yatatokea na kile kitatokea hataki kuwa mmoja wa hayo.

Upo msemo unasema koti lakuazima usilifanye likawa la kwako na cheo chochote kina gharama ametimiza ahadi hiyo kwa gharama kubwa kwakuamini serikali ilimuamini kwa tatizo Taifa lilitupata hivyo anawashukuru na kwarudishia cheo chao ili wengine wachukue usukani ameishinda Tamaa na amemshinda shetani.

Soma Pia: Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

Hakutaka kufanana na Mungu pamoja na uwezo wote aliokuwa nao hakutaka makuu amejikubali naomba viongozi wote tujifunze kwa Dr Mpango.

Taifa lilikumbwa na msiba mzito nakama sio ule msiba asingekuwa makamu wa Rais je kwanini aendelee kushika nafasi kwa ubabe na fitina wakati alipewa kama hisani na upendeleo wa Mungu.

Dr Mpango moyo wake ukamkumbusha usitamani jambo hukuandaliwa na yakuwa nafasi kubwa kama yake niupendeleo toka kwa Mungu na taifa lina watu sio yeye peke yake basi akang'atuka huu ni uzalendo mkubwa sana.

Dr Mpango wajinga wachache watabeza msimamo wako ila nataka nikuhakikishie mbingu zitasimama uwone yote yatatokea ili umtukuze Mungu na uzao wako. Wewe ni mshindi wewe ni simba na Mungu azidi kukulinda kwa Makerubi wake asubuh, mchana na usiku. Amen
 
Ukimuona mtu anamsema vibaya Mh Dr Mapango basi juwa nimaumivu na chuki kubwa juu yake kwa uwamuzi wakupiga chini nafasi ya Umakamu wa Rais na kurudi back benches.
Ndie waziri pekee wa fedha alie kuwa akiishi nyumbani na sio kwenye pepo za baharini na hii ndio siri yakupendwa kwake na Hayati Magufuli kiasi kupiga sim akiwa hosp amuone na watanzania wamuone.
Dr Mpango ndie Eng wa uchumi na mambo yote mnayaona na huyo waziri mtaka sifa pale ametemebelea sana nyota ya huyu Dr Mpango. Uwezo na akili alizo nazo ziliwavutia wakubwa zake kumsogeza karibu kuanzia JK mpaka Magufuli.
Nimoja ya nyota na tunu tulizo nazo ktk Taifa ni bahati mbaya hakushika kiti kwasababu za kibinadam au Mungu mwenyewe. Sio chawa ila nimsema kweli nainaonyesha anachukia uchawa na ameuchukia uchawa kwa maandishi. "Naomba nipumzike"
Huyu ndio aina ya kiongozi tunamuhitaji nina amini JK amelia alipojuwa huyu mwamba ameamua kupumzika ila walamba miguu tumefanya part maana alikuwa mnoko sana kuzuwia vimeo vyetu. Yes hakuna anaweza kuja nakusema vile Dr Mpango nimsumari wa moto kwa majizi ya wizarani na kwenye mfumo. Hana deal ila peleka pesa bank ya serikali nakama una zawadi kumtunuku basi peleka kwenye akaunti yaserikali mama na mtoto wapate huduma bora ni mwana mapinduzi na mzawa wa kweli ktk uzalendo kwa taifa lake.

Nafasi ya umakamu wa Rais ndio ilimtoa home sweet hm kwenda baharini ila yaonyesha hakukupenda na ameamua rudi nyumbani. Akafuge kuku na kucheza na ujukuu wake huku akikielimisha kizazi kijacho juu ya uzalendo.

Mh Dr Mapango amekuwa mnyenyekevu nakufia ukweli huku akiepuka laana ya Hayati Magufuli kwa yote yanasemwa ameamua kuacha kabisa akijuwa hakuna atake ishi milele na mwamba alikufa akisimamia watu wake wa Tz kwa dam na nyama. Alikuwa nikipenzi cha Magu na amekubali kukaaa pembeni kuipisha gharika ya pili ukiacha ile ya kwanza kwa wale wakiroho tunamuona kama mtu anayo iyona kesho baada ya uchaguzi. Yale yatatokea na kile kitatokea hataki kuwa mmoja wa hayo.

Upo msemo unasema koti lakuazima usilifanye likawa la kwako na cheo chochote kina gharama ametimiza ahadi hiyo kwa gharama kubwa kwakuamini serikali ilimuamini kwa tatizo Taifa lilitupata hivyo anawashukuru na kwarudishia cheo chao ili wengine wachukue usukani ameishinda Tamaa na amemshinda shetani. Hakutaka kufanana na Mungu pamoja na uwezo wote aliokuwa nao hakutaka makuu amejikubali naomba viongozi wote tujifunze kwa Dr Mpango.

Taifa lilikumbwa na msiba mzito nakama sio ule msiba asingekuwa makamu wa Rais je kwanini aendelee kushika nafasi kwa ubabe na fitina wakati alipewa kama hisani na upendeleo wa Mungu. Dr Mpango moyo wake ukamkumbusha usitamani jambo hukuandaliwa na yakuwa nafasi kubwa kama yake niupendeleo toka kwa Mungu na taifa lina watu sio yeye peke yake basi akang'atuka huu ni uzalendo mkubwa sana.

Hivi lini ulimuona Dr. Mpango akikemea na kulaani mojawapo katika haya mambo:
1. Utekaji na mauaji ya wakosoaji wa serikali.
2. Uchafuzi katika uchaguzi wa 2019, 2020, 2024.
3. Uuzwaji wa bandari za Tanganyika
4. Kufukuzwa kwa wamasai kule Ngorongoro
5. Wizi na ufisadi uliokithiri ndani ya serikali.

Kwangu mimi, Dr. Mpango ni miongoni mwa watu ambao siwausudu kabisa kuwahi kushika nafasi za juu katika serikali yetu. Hakuwa na sifa zozote za kutuvutia kabla ya kuteuliwa na ameshindwa kujenga sifa zozote hata baada ya kuteuliwa. Ni bure kabisa.
 
Ukimuona mtu anamsema vibaya Mh Dr Mapango basi juwa nimaumivu na chuki kubwa juu yake kwa uwamuzi wakupiga chini nafasi ya Umakamu wa Rais na kurudi back benches.
Ndie waziri pekee wa fedha alie kuwa akiishi nyumbani na sio kwenye pepo za baharini na hii ndio siri yakupendwa kwake na Hayati Magufuli kiasi kupiga sim akiwa hosp amuone na watanzania wamuone.
Dr Mpango ndie Eng wa uchumi na mambo yote mnayaona na huyo waziri mtaka sifa pale ametemebelea sana nyota ya huyu Dr Mpango. Uwezo na akili alizo nazo ziliwavutia wakubwa zake kumsogeza karibu kuanzia JK mpaka Magufuli.
Nimoja ya nyota na tunu tulizo nazo ktk Taifa ni bahati mbaya hakushika kiti kwasababu za kibinadam au Mungu mwenyewe. Sio chawa ila nimsema kweli nainaonyesha anachukia uchawa na ameuchukia uchawa kwa maandishi. "Naomba nipumzike"
Huyu ndio aina ya kiongozi tunamuhitaji nina amini JK amelia alipojuwa huyu mwamba ameamua kupumzika ila walamba miguu tumefanya part maana alikuwa mnoko sana kuzuwia vimeo vyetu. Yes hakuna anaweza kuja nakusema vile Dr Mpango nimsumari wa moto kwa majizi ya wizarani na kwenye mfumo. Hana deal ila peleka pesa bank ya serikali nakama una zawadi kumtunuku basi peleka kwenye akaunti yaserikali mama na mtoto wapate huduma bora ni mwana mapinduzi na mzawa wa kweli ktk uzalendo kwa taifa lake.

Nafasi ya umakamu wa Rais ndio ilimtoa home sweet hm kwenda baharini ila yaonyesha hakukupenda na ameamua rudi nyumbani. Akafuge kuku na kucheza na ujukuu wake huku akikielimisha kizazi kijacho juu ya uzalendo.

Mh Dr Mapango amekuwa mnyenyekevu nakufia ukweli huku akiepuka laana ya Hayati Magufuli kwa yote yanasemwa ameamua kuacha kabisa akijuwa hakuna atake ishi milele na mwamba alikufa akisimamia watu wake wa Tz kwa dam na nyama. Alikuwa nikipenzi cha Magu na amekubali kukaaa pembeni kuipisha gharika ya pili ukiacha ile ya kwanza kwa wale wakiroho tunamuona kama mtu anayo iyona kesho baada ya uchaguzi. Yale yatatokea na kile kitatokea hataki kuwa mmoja wa hayo.

Upo msemo unasema koti lakuazima usilifanye likawa la kwako na cheo chochote kina gharama ametimiza ahadi hiyo kwa gharama kubwa kwakuamini serikali ilimuamini kwa tatizo Taifa lilitupata hivyo anawashukuru na kwarudishia cheo chao ili wengine wachukue usukani ameishinda Tamaa na amemshinda shetani. Hakutaka kufanana na Mungu pamoja na uwezo wote aliokuwa nao hakutaka makuu amejikubali naomba viongozi wote tujifunze kwa Dr Mpango.

Taifa lilikumbwa na msiba mzito nakama sio ule msiba asingekuwa makamu wa Rais je kwanini aendelee kushika nafasi kwa ubabe na fitina wakati alipewa kama hisani na upendeleo wa Mungu. Dr Mpango moyo wake ukamkumbusha usitamani jambo hukuandaliwa na yakuwa nafasi kubwa kama yake niupendeleo toka kwa Mungu na taifa lina watu sio yeye peke yake basi akang'atuka huu ni uzalendo mkubwa sana.
Dr Mpango wajinga wachache watabeza msimamo wako ila nataka nikuhakikishie mbingu zitasimama uwone yote yatatokea ili umtukuze Mungu na uzao wako. Wewe ni mshindi wewe ni simba na Mungu azidi kukulinda kwa Makerubi wake asubuh, mchana na usiku. Amen
Unataka kusema mpango kajiuzulu?
 
Jamaa alivyokuwa Waziri wa Fedha alimuwekea mustendi Makonda alipe kodi za vifaa vya shule, kodi qmbayo Makonda alitaka kutuzungusha asilipe.

Wakati huo Makonda mtoto mpendwa wa Magufuli kila mtu alikuwa anamuogopa, ila Dr. Mpango akamuondolea uvivu.
Nini kilitokea?
Makonda alilipa ile kodi?

Muwe na kumbukumbu, hakuna chochote kililipwa katika lile sakata.
 
Ukimuona mtu anamsema vibaya Mh Dr Mapango basi juwa nimaumivu na chuki kubwa juu yake kwa uwamuzi wakupiga chini nafasi ya Umakamu wa Rais na kurudi back benches.
Ndie waziri pekee wa fedha alie kuwa akiishi nyumbani na sio kwenye pepo za baharini na hii ndio siri yakupendwa kwake na Hayati Magufuli kiasi kupiga sim akiwa hosp amuone na watanzania wamuone.
Dr Mpango ndie Eng wa uchumi na mambo yote mnayaona na huyo waziri mtaka sifa pale ametemebelea sana nyota ya huyu Dr Mpango. Uwezo na akili alizo nazo ziliwavutia wakubwa zake kumsogeza karibu kuanzia JK mpaka Magufuli.
Nimoja ya nyota na tunu tulizo nazo ktk Taifa ni bahati mbaya hakushika kiti kwasababu za kibinadam au Mungu mwenyewe. Sio chawa ila nimsema kweli nainaonyesha anachukia uchawa na ameuchukia uchawa kwa maandishi. "Naomba nipumzike"
Huyu ndio aina ya kiongozi tunamuhitaji nina amini JK amelia alipojuwa huyu mwamba ameamua kupumzika ila walamba miguu tumefanya part maana alikuwa mnoko sana kuzuwia vimeo vyetu. Yes hakuna anaweza kuja nakusema vile Dr Mpango nimsumari wa moto kwa majizi ya wizarani na kwenye mfumo. Hana deal ila peleka pesa bank ya serikali nakama una zawadi kumtunuku basi peleka kwenye akaunti yaserikali mama na mtoto wapate huduma bora ni mwana mapinduzi na mzawa wa kweli ktk uzalendo kwa taifa lake.

Nafasi ya umakamu wa Rais ndio ilimtoa home sweet hm kwenda baharini ila yaonyesha hakukupenda na ameamua rudi nyumbani. Akafuge kuku na kucheza na ujukuu wake huku akikielimisha kizazi kijacho juu ya uzalendo.

Mh Dr Mapango amekuwa mnyenyekevu nakufia ukweli huku akiepuka laana ya Hayati Magufuli kwa yote yanasemwa ameamua kuacha kabisa akijuwa hakuna atake ishi milele na mwamba alikufa akisimamia watu wake wa Tz kwa dam na nyama. Alikuwa nikipenzi cha Magu na amekubali kukaaa pembeni kuipisha gharika ya pili ukiacha ile ya kwanza kwa wale wakiroho tunamuona kama mtu anayo iyona kesho baada ya uchaguzi. Yale yatatokea na kile kitatokea hataki kuwa mmoja wa hayo.

Upo msemo unasema koti lakuazima usilifanye likawa la kwako na cheo chochote kina gharama ametimiza ahadi hiyo kwa gharama kubwa kwakuamini serikali ilimuamini kwa tatizo Taifa lilitupata hivyo anawashukuru na kwarudishia cheo chao ili wengine wachukue usukani ameishinda Tamaa na amemshinda shetani. Hakutaka kufanana na Mungu pamoja na uwezo wote aliokuwa nao hakutaka makuu amejikubali naomba viongozi wote tujifunze kwa Dr Mpango.

Taifa lilikumbwa na msiba mzito nakama sio ule msiba asingekuwa makamu wa Rais je kwanini aendelee kushika nafasi kwa ubabe na fitina wakati alipewa kama hisani na upendeleo wa Mungu. Dr Mpango moyo wake ukamkumbusha usitamani jambo hukuandaliwa na yakuwa nafasi kubwa kama yake niupendeleo toka kwa Mungu na taifa lina watu sio yeye peke yake basi akang'atuka huu ni uzalendo mkubwa sana.
Dr Mpango wajinga wachache watabeza msimamo wako ila nataka nikuhakikishie mbingu zitasimama uwone yote yatatokea ili umtukuze Mungu na uzao wako. Wewe ni mshindi wewe ni simba na Mungu azidi kukulinda kwa Makerubi wake asubuh, mchana na usiku. Amen
Labda humjui. Yule ni mwizi balaa kumzidi hata jpm aliyeficha pesa china kw aushirikiano na Biswalo
 
Kile kidingi tunaelezwa na wanyetishaji kuwa ni kikuda, kizandiki na kipigaji balaa. Maza amekuja kukishtukia dakika za lala salama na kukifyatua nje, hisia za watu wa karibu na mama ni kuwa, kikiendelea kukalia kile kutu, ipo siku huenda kingetengua kiti kikuu.
 
Back
Top Bottom