Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema jeshe la polisi lipo imara kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu wa chadema, kuhakikisha unafahamika kwa amani na...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu...
1 Reactions
8 Replies
595 Views
Ni kipindi ambacho chadema itadhiofika zaidi kwenye medani ya siasa huku wanachama wake wenye hekima na busara wakijiengua mapema kuepuka aibu ya ukosefu wa hekima na busara miongoni mwa viongozi...
5 Reactions
94 Replies
3K Views
Hakuna ubishi kuwa umejitahidi kujenga chama chako kwa kadri ya uwezo wako kwa miaka zaidi ya ishirini ambayo ulikuwa Mwenyekiti. Hata hivyo kwa jinsi mchakatao wa kampeni ulivyokuwa ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Hellow Tanganyika, Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo, "Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2🎶 "Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3🎶 Sio mazingaombwe, ni Yesu...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Takribani miaka 60 sasa Watanzania hususani tabaka tawaliwa, tumeishi kwenye ufukara uliotopea. Wakati huo tabaka tawala wakijineemesha kupitia msamiati uzalendo. Miaka 60 ya uhuru bado tunapewa...
21 Reactions
50 Replies
5K Views
Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Huenda Freeman Aikaeli Mbowe akatangazwa mshindi wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa kwa kujizolea kura zaidi ya 700 za wajumbe halali waliothibitishwa kua wapiga kura na kamati kuu. Ni wazi na ukweli...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha...
6 Reactions
4 Replies
608 Views
Hayawi hayawi yamekuwa, Licha ya matarajio makubwa kutokana na ushindi huo, nawaona CHADEMA wanaenda kukomba wabunge wengi kwenye uchaguzi mkuu. Hii inatokana na furaha ya wananchi wengi...
2 Reactions
0 Replies
306 Views
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa? Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Wakuu, Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Siku za hivi Karibuni nimekuwa nikiwasiliana na Wasaidizi wa MH Rais hasa mawaziri,DC na Watendaji mbali mbali. Lengo la kuwasliana nao ni kero mbali mbalimbali ambazo tunapitia kwenye Jamii zetu...
1 Reactions
9 Replies
470 Views
Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi...
17 Reactions
70 Replies
4K Views
Dk. Lwaitama, moja kati ya nguli wa zamani pale UDSM ameshangazwa na msimamo wa Lissu kwamba hataki kuzungumza au kuridhiana na yeyote. Katika moja ya makala zake, mzee wa maswali magumu Ansbert...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Mhe Lissu kama alivyoahidi kuhutubia Taifa Leo siku ya tarehe 01.01.2025 majira haya ya mchana, Mhe Lissu ni mkweli na tayari amenafanya hivyo msikilize. Usiondoke Jf kwa habari na madili...
28 Reactions
209 Replies
9K Views
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC...
16 Reactions
103 Replies
12K Views
Back
Top Bottom