Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025 Soma, Pia: Godbless Lema...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia Chama sasa miaka yetu hii imekua ni...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
0 Reactions
9 Replies
522 Views
Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
1 Reactions
1 Replies
493 Views
Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa. Zitto Kabwe ni mfano hai...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana...
28 Reactions
91 Replies
7K Views
Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA. Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana. Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua...
0 Reactions
5 Replies
687 Views
Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake. Ila wakiendelea kugombea wote...
2 Reactions
13 Replies
738 Views
Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni...
12 Reactions
91 Replies
5K Views
Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
4 Replies
661 Views
Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema...
0 Reactions
8 Replies
704 Views
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM. Ni Matumaini yangu u heri wa Afya. Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed 1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
Wanabodi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ""Umasikini mkubwa zaidi na umasikini m-baya zaidi, ni umasikini wa fikra!". Hii ni ile hali ya mtu kuwa na mawazo ya kimasikini, unakuwa...
17 Reactions
47 Replies
4K Views
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…