Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Utawala wa Nyerere vyeo vya juu vya nchi akihakikisha kunakuwa na mkatoliki ,muislamu na mprotestanti Mfano raisi akiwa Raisi makamu anaweka muislamu waziri mkuu mprotestanti Mfano Nyerere akiwa...
0 Reactions
4 Replies
316 Views
Huu uchaguzi ndani ya CHADEMA umetuonyesha sura nyingi sana chanya na ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA. Huwezi kuzungumzia ushindi wa Lissu bila kutaja timu ya kampeni ya Lissu iliyopiga kazi...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Rasmi sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama cha upinzani, tukutane hapa mwezi wa 11. Nina uhakika 100% na wala haina haja ya kubishana sana.
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu...
14 Reactions
193 Replies
9K Views
Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano...
1 Reactions
1 Replies
593 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa Mbowe anatapatapa, haelewi ashike wapi na aache wapi. Hii ni baada ya shutuma kuwa kali sana ndani ya chama chake kutoka kwa wanachama wake ya kumtaka ajiuzulu na...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au...
2 Reactions
1 Replies
325 Views
Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia...
5 Reactions
9 Replies
661 Views
WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa...
1 Reactions
1 Replies
378 Views
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda...
32 Reactions
145 Replies
5K Views
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully. Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu...
20 Reactions
28 Replies
2K Views
Maboresho ya Kodi Yanayohitajika Kufanyika Tanzania Katika kuelekea maendeleo ya uchumi wa Tanzania, ni muhimu kufanyika maboresho katika mfumo wa kodi. Kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya...
1 Reactions
3 Replies
404 Views
Hellow!! Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika, Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Wakuu, Lissu amekuwa akiongelewa kama mtu mwenye misimamo, aliyenyooka, na siyo rahisi kuyumbishwa. Yeye na Heche imekuwa pea moja ambayo inaendana kwa kwenye misamamo na njia zao za kuongoza...
9 Reactions
66 Replies
4K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Back
Top Bottom