Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama amefanya ziara Mkoani Rukwa kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi 2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo 3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea 4. Uhuru wa kuchagua na kugombea 5. Wasimamizi wa uchaguzi...
3 Reactions
9 Replies
678 Views
Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi. Nchi hii kila kitu ni tabu...
19 Reactions
105 Replies
8K Views
Wakuu, Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana. Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Ningependa kusisitiza jambo hilo kwa wadau wote wa JF na kama familia, kwamba agenda ya Taifa letu kwa mwaka 2030-2040 itakua ni Dr. Emmanuel Nchimbi. Ni muhimu kujipanga vyema nyuma ya huyu...
5 Reactions
68 Replies
3K Views
Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumalizika na ndugu TAL kuibuka na ushindi dhidi ya bilionea FAM, makada mbalimbali wa Chama cha mapinduzi walionyesha...
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi kuna watu wanadhani chadema itakapoongoza maisha yao yatakuwa bora zaidi kuliko, ubora huu unaoonyeshwa na CCM? Je kuna watu wanaamini ya kuwa kwa kasi ya maendeleo ambayo ccm imeyafanya na...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho. Walinzi wameimarisha...
3 Reactions
7 Replies
724 Views
Wananchi wakiwemo wazee, viongozi wa kiserikali na wnachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Tabora leo tarehe 22 Januari 2025 wamefanya matembezi ya Amani kuanzia Ofisi za CCM Mkoa hadi Viwanja...
0 Reactions
1 Replies
429 Views
Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania. Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali...
0 Reactions
4 Replies
594 Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast. Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa...
17 Reactions
112 Replies
4K Views
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025 Soma, Pia: Godbless Lema...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia Chama sasa miaka yetu hii imekua ni...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
0 Reactions
9 Replies
522 Views
Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
1 Reactions
1 Replies
493 Views
Back
Top Bottom