Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameeleza sababu za kuacha wazi nafasi moja ya Mjumbe wa Kamati Kuu baada ya kuteua Wajumbe Watano (Godbless Lema, Dr Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salma...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Anaejua Lissu anaepeleka wapi chadema atwambie. Mimi naona giza tu mbeleni
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Wapo wavivu na wajinga wanaolalamika na kulaani kwanini Rais Donald Trump amesitisha misaada. Kwa wanaojua utajiri uliokaliwa na Afrika, wanashangaa nani alituroga. Anachofanya Trump, kwa wenye...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya...
2 Reactions
5 Replies
699 Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Bw. Albert Msando, ameagiza mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa material yote yaliyokuwa yamerekodiwa na mwandishi huyo ambaye anafuatitilia...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA...
16 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh: ====== Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Muonekano Mpya huu hapa Toa Maoni yako
22 Reactions
80 Replies
5K Views
Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu. Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu Hapa ni Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akieleza Wito: Ni Muhimu sana kuheshimu viongozi waliopita maana bado busara zao zinahitajika
12 Reactions
60 Replies
3K Views
At least yeye ni Rais pekee aliyeweza kuonesha nafasi adhimu ya Tanzania katika kuhakikisha kwa majirani na rafiki zetu kuna amani. Mwaka 2012 wakati kikundi cha M23 wanaleta fyoko fyoko Congo...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Taarifa za siri za CIA za miaka ya 1953 zinaonyesha kwamba shirika hilo liliamini kwamba baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka Tanganyika, mtu aliyepaswa kukabidhiwa nchi alikuwa ni kiongozi wa...
10 Reactions
94 Replies
5K Views
Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake. Tundu Lisu ni tofauti...
0 Reactions
5 Replies
494 Views
Wakuu, 1. Deus Clement Sangu – Mbunge wa Kwela Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alishinda kwa kura 48,918, akimshinda Ngogo Naftal Daniel kutoka CHADEMA...
2 Reactions
1 Replies
935 Views
Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi". Sasa hawa...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu, Huyu Nchimbi na mgombea mwenza wa Samia ni ndugu au majina tu? TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema chama hicho ni chama kiongozi cha ukombozi na hakikatai mazungumzo na kitafanya na mtu au taasisi yoyote, si vyama vya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Mh Rais naomba unielekeze Ile mahakama mliyoiunda kushugulikia mafisadi na Majizi Iko wapi? Nina orodha Yao kubwa na ushahidi nataka nipeleke hapo
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama. Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa...
20 Reactions
101 Replies
4K Views
Back
Top Bottom