Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Wilaya ya Dodoma Mjini Godfrey Kimario Leo Feb 13,2025 amekabidhi kadi ya Chama Chake Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Tazama live mapokezi ya John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema nyumbani Tarime Endelea kukaa karibu na uzi huu ili upate updates ya kinachojiri...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka; Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo. Soma Pia: Special...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Zile heka heka za Ccm za zamani hatuzioni tena. Zimekufa kibudu. Zaidi ya Chawa mmoja mmoja ambaye akifanya birthday anaweka bango la Mama kwenye Status yake ya Facebook au Whatsapp hatuoni...
3 Reactions
16 Replies
952 Views
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu...
0 Reactions
9 Replies
706 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuisimamisha Nchi na Afrika Nzima kwa ujumla wake pamoja na nje ya...
3 Reactions
20 Replies
962 Views
Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha. Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere...
2 Reactions
8 Replies
523 Views
Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!? Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea...
0 Reactions
13 Replies
945 Views
Ni vema tukaelimishwa Bandari ya Bagamoyo iko wapi Kama ni ile ya pale karibu na mahakama ni Bora wapewe tu waarabu kwa sababu Wazaramo ni Wavivu waliptukuka Ila kuanzia Kitopeni, Kiromo...
1 Reactions
11 Replies
647 Views
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana. Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa malalamiko yao kuhusu hali ya haki katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama. Malalamiko...
1 Reactions
1 Replies
622 Views
Uwazi wa mikataba kwa umma, ndipo kilio kilipo, tuingie mikataba safi, ya vipindi vifupi kadri iwezekanavyo, mamlaka zetu kama tra ziweze kufanya kazi yake kwa uhuru, gawio letu lisiwe chini ya...
1 Reactions
10 Replies
399 Views
Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau. Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU...
10 Reactions
5 Replies
726 Views
https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu...
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa...
1 Reactions
6 Replies
403 Views
Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo...
1 Reactions
3 Replies
469 Views
Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga, amemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayofanya katika kuleta maendeleo nchini, akisisitiza kuwa ni kiongozi shupavu anayehakikisha Tanzania...
0 Reactions
16 Replies
717 Views
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni. Kama...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Back
Top Bottom