Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchini Kyrgyzstan Serikali ya nchi hiyo inajenga uwanja wa kisasa kweli wa michezo wenye uwezo wa kuchukua watu 45,000 kwa gharama za Dola Milioni 60 tu za Marekani sawa na shilingi Bilioni 154 za...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Ni muhimu chadema ikatangazwa tu kama ni kituo kinachohitaji msaada wa kifedha kujiendesha ili wadau mballimbali wa kitaifa na kimataifa waone namna ya kuwasaidia, Vinginevyo demokrasia ya vyama...
3 Reactions
71 Replies
2K Views
Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda. Salumu Hamduni amesema hawana...
11 Reactions
287 Replies
25K Views
Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa. Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya Samia Legal Campaign, sasa hivi CCM wamekuja na hii ya kuitwa Samia Teachers kwa ajili ya kupata kura za walimu. Hapo walimu watadanganywa kuwa wanatatuliwa changamoto zao ili...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa === Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Au tatizo ni uelewa na ufahamu mdogo juu ya masuala ya kidemokrasia katika chaguzi? Hata mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa alibwekabweka sana kwa hofu ya kushindwa uchaguzi kitu ambacho ndio...
2 Reactions
3 Replies
429 Views
Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima...
23 Reactions
198 Replies
27K Views
Amri hiyo kabambe iliyojaa Ukakamavu imetolewa leo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu mjini Manyoni Taarifa kamili hii hapa UJUMBE-NO REFORM NO ELECTION
13 Reactions
110 Replies
5K Views
Bahari imetanda mashariki yote. Miti imekaa, imekuwa mingi mpaka sasa vijana wa TFS wanatumia SMG kuua Watanzania wenzao wanaokata miti ya kujengwa vijumba vyao. Madini yamejaa Shinyanga, Lindi...
4 Reactions
18 Replies
875 Views
Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza...
0 Reactions
3 Replies
503 Views
Mtumishi wa Mungu Clear Malissa ametangaza kufanya maombi makubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, yatakayohudhuriwa na waumini wa dini zote nchini. Maombi hayo yanalenga kuiombea...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Umofia wana Jamiiforums ! Kama Mada ilivyo tajwa hapo juu, Kumekuwa na Siasa nyepesi kwenye mambo serious hasa yanayohusu wananchi wa chini kabisa. Kwa kuanza na uchambuzi wa mada, Mheshimiwa...
1 Reactions
2 Replies
466 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Back
Top Bottom