Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeota ndoto kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzushi, Jan 8, 2017.

 1. mzushi

  mzushi JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimeota ndoto kuwa kuna Mbunge atakula mvua wiki ijayo Na bahati mbaya imejirudia zaidi ya Mara 3 na kila nikilazimisha ndoto isikate ili ning'amue ni nani usingizi unakata ,tuombeane uzima kukuche salama labda kitendawili kitateguka.
   
 2. M

  MWANDENDEULE JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2017
  Joined: May 24, 2015
  Messages: 2,335
  Likes Received: 2,151
  Trophy Points: 280
  Huu ni uchochezi angalia sana kama polisi haijamka na wewe asubuhi.
   
 3. Prince Kunta

  Prince Kunta JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 27, 2014
  Messages: 7,637
  Likes Received: 5,947
  Trophy Points: 280
  Hii kesi ya kuota ndoto haina dhamana ujue we haya tu
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mtafute Yusuf aje aitafasri ndoto yako
   
 5. PROF NDUMILAKUWILI

  PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 25, 2016
  Messages: 7,108
  Likes Received: 7,968
  Trophy Points: 280
  Sawa!
   
 6. hazole1

  hazole1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 3,957
  Likes Received: 3,070
  Trophy Points: 280
  Hili jukwaa watu wanajitahidi sana kuota ndoto na ndoto zao huwa mara nying zinakuwaga ni za kweli.
  Lakini ngoja tuone ndoto ya huyu jamaa itaishia wapi.
   
 7. A

  Arie power JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2017
  Joined: Jun 29, 2015
  Messages: 2,391
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
   
 8. heradius12

  heradius12 JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2017
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6,857
  Likes Received: 8,554
  Trophy Points: 280
  Kula mvua@!@ mi sijaelewa kabsa
   
 9. mzushi

  mzushi JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Well said mkuu hakika wewe ni G- thinker
   
 10. mzushi

  mzushi JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Najua siku zote nabii hakubaliki nyumbani kwao
   
 11. mzushi

  mzushi JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Mkuu asante kwa kukubali ndoto yangu mtu keshakula mvua huko
   
 12. hazole1

  hazole1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 3,957
  Likes Received: 3,070
  Trophy Points: 280
  Mkuu nani tena huyo
   
 13. mzushi

  mzushi JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 1,985
  Trophy Points: 280
  Nasikia Kilombero mtu kapewa tayari
   
 14. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,528
  Likes Received: 16,510
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kuota
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mh.Lijualikali
   
 16. hazole1

  hazole1 JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 3, 2015
  Messages: 3,957
  Likes Received: 3,070
  Trophy Points: 280
  Kweli watu mnajua kuota.
   
 17. m

  mpamba lioto Member

  #17
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 5
  Mkuu kweli uliona maono kilombero mtu kala mvua kweli
   
 18. mirisho pm

  mirisho pm JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 2,480
  Likes Received: 3,298
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama una undugu na system or whatsoever kuwa makini.,,,,
   
 19. kayaman

  kayaman JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 2,430
  Likes Received: 3,549
  Trophy Points: 280
  wewe jamaa utakuwa mtu wa ndani sana
   
 20. kayaman

  kayaman JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 2,430
  Likes Received: 3,549
  Trophy Points: 280
  ndugu uwe unaendelea kutushirikisha kwenye ndoto zako sasa nimeziamini rasmi
   
Loading...