Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msituletee Habari za Vifo tu vya Viongozi kufia Nje ya Nchi walipokua wanatibiwa. Na Watanzania hawatakiwi Kuogopa Et kufanya kazi Nchi za waarabu ni hatari, Kuna kuuwawa n.k Dunia iliingia...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Hiki chama ni Cha wababe yaani wanaweza wakasema mlale saa 12 na mkalala na hamna mtachofanya sababu vyombo vya ulinzi vimepakatwa na CCM Nawaambieni mkitaka mtoboe maisha tokeni bongo njooni...
1 Reactions
19 Replies
704 Views
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu...
25 Reactions
140 Replies
4K Views
Maji safi na salama ni janga la kitaifa. Miaka 60 ya uhuru mnashindwa kusambaza maji safi na salama. Mfano ni mji kama Chato upo kma moja karibua na ziwa lakini wananchi hawapati maji safi na...
1 Reactions
10 Replies
607 Views
Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu...
0 Reactions
16 Replies
740 Views
Kwa Sasa Chadema imetoka mikononi mwa Mabepari na kuwa mikononi mwa Wananchi wazalendo Tutamwomba muasisi aliyebakia Mzee Mtei atoe ridhaa Ili Jina la Chama libadilike tuanze ukurasa Upya...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano...
2 Reactions
154 Replies
6K Views
Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limesema kwa asilimia 95 limetekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi katika kukamilisha miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa na iliyokamilika katika...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara? Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Mbwembwe za kumtumia Mwijaku na Yale Makamera, Lengo lake Sasa ni hili la CCTV Kwa zaidi ya Milion 500 . Hapo anajua Kamtekenya Mama, kwahiyo Hatoulizwa hiiii gharama vipi? Sawa ni Cameras...
0 Reactions
2 Replies
574 Views
Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Huu Ndio udhaifu mkubwa aliouonyesha Freeman Mbowe kama Mwenyekiti Mtendaji wa Chadema Zile Nafasi zilikuwa ni za Chama na siyo za akina Halima James Mdee na wenzake 18 kama individuals Huu...
0 Reactions
8 Replies
425 Views
Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambako pia wananchi watapata nafasi ya kuchagua wabunge watakaowawakilisha kwa miaka mingine 5, tunashashuhudia viongozi wakianza kutangaza nia na kuahidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na...
6 Reactions
76 Replies
2K Views
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30. Ameeleza pia...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika usiku wa Tuzo za Wasanii wa Vichekesho (Tanzania Comedy Awards) zitakazofanyika Februari 22, 2025 katika ukumbi wa The Super...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Ni wazi Congo ya Mashariki wanakwenda kuwa Taifa Huru kama ilivyokuwa Asili yake Akina Zitto Kabwe muwe wazalendo Sasa kuhakikisha Congo Mashariki anakuwa Mteja mkuu wa Bandari yetu Ahsanteni...
0 Reactions
10 Replies
347 Views
Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kujitokeza kupata elimu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama Samia Legal AID inayolenga kutatua changamoto za kisheria ambazo zinawakumba wananchi. Rai...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
Back
Top Bottom