Hivi Ally Hapi anafanya Mikutano ya hadhara kama nani? Mbona cheo chake hakina tija yoyote!?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,605
220,425
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?

Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?

Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.

Screenshot_2024-05-12-10-31-02-1.png
 
Tangu
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?

Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?

Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.

View attachment 2988694
lini timu ya Yanga ikamuonea huruma Simba au timu ya Simba kuionea huruma Yanga? Sasa wewe umeanza lini kuzionea huruma pesa za CCM?
 
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?

Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?

Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.

View attachment 2988694
Kweli kabisa, niliona nikajiuliza hivi huko CCM yeyote tu anaweza kuzunguka nchi nzima anafanya mikutano.

Mfano ni huyu Hapi, nikiombe chama kimpumzishe tu, tutaishia kuchanganya wananchi. Amepita mwenezi, katibu ama makamu. Ghafla anakuja huyu sijui cheo gani.
 
Hawa jamaa hawajui majukumu yao au wanakurupuka na pia ni wapenda sifa ndio nashangaa katibu kumfunika mwenyekiti wake ni kama vile mpuuzi bashite alivyokuwa anazungukazunguka kipumbavu hadi wakaamua kumuondoa kwenye cheo.

Utasikia na yeye anaanza kusikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu mawaziri wazitatue
 
CCM Sasa Hivi Joto Kali Wanahaha Eti Wanasema Kukinusuru Chama
Sasa Viongozi Aina Ya Hapi Hata Pilipili Hoho Zilogoma Kumea Shambani Mwake Atawashawishi Nini Watanganyika

CCM Imekuwa Kama Pombe Ya Ngomani Kila Mlevi Anachota Anakunywa
Noma kweli yaani!
 
Anafanya KAZI ya makonda baada ya mama kupigiwa kelele na wazee was chama.kumhusu!!

Ally Hapi anaifanya KAZI ya makonda japo impact yake sio kubwa kiviile kama Ile ya makonda tulioiona!!

Ally hapi ana usongo pia baada ya kuwekwa Benchi sasa amekumbukwa lazima apige mzigo was maana!!

Mama kaona Nchimbi Hana mvuto ule uluotegemewa na Makala nae sio wa moto kivile Bora hawa vijana wakinukishe Hadi 2025!
 
CHADEMA mmeishiwa hoja na kubaki vituko wa kutukana matusi na kuropoka ropoka kama mtu mwenye matatizo kichwani. Kaeni kwa kutulia maana naona mmebanwa mbavu mpaka mnashindwa kupumua. Kwa sasa mnavutishwa hewa ya moto.
 
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?

Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?

Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.

View attachment 2988694
Kwani lisu anaongelea masuala ya muungano kama nanii
 
CHADEMA mmeishiwa hoja na kubaki vituko wa kutukana matusi na kuropoka ropoka kama mtu mwenye matatizo kichwani. Kaeni kwa kutulia maana naona mmebanwa mbavu mpaka mnashindwa kupumua. Kwa sasa mnavutishwa hewa ya moto.
Umeelewa mada
 
Ni utaratibu wa chama kuwafikia watu wake popote walipo
Hizi hela za CCM mbona zinaliwa kijinga sana namna hii, Tangu lini Katibu wa Wazee wa CCM akazurula Nchi nzima kwa mikutano ya hadhara?

Halafu ni nani ambaye anaweza kushawishika na porojo za Hapi anayetuhumiwa kuwatukana Wazee wa Chama chake hadi akavuliwa Ukuu wa Mkoa?

Ni kweli kwamba Watanzania ni Mabwege lakini si mabwege sana kiasi hicho.

View attachment 2988694
 
Chadema

Chadema yakina Dr.Slaa,Wangwe ilikuwa haijapoteza dira kama hii ya akina Jacobo,wala haikuwa inahoja za kipuuzi kama hizi,yaani ushindwe kueneza chama sababu chadema wanaona cheo chako ni kidogo,hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom