Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Kuna uzembe mkubwa sana katika ulinzi wa Rais, Watu wanadhani kuwa na bodyguard wengi au magari mengi ndiyo ulinzi husika Nimenusa jambo kwenye maeneo haya matatu Kuna uzembe sana kwa Mawakala...
4 Reactions
0 Replies
649 Views
Amina Mohamed ambae ni mdau wa Bandari za Tanzania na Mombasa amesema Bandari ya Dar es Salaam inakabiliwa na tatizo na kukosa Ufanisi ambapo ametolea mfano kamba ukitaka kutuma Makontena...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha...
17 Reactions
108 Replies
7K Views
Wanabodi, Ninapotafakari kwa kina mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ninakumbuka falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kama ingetekelezwa ipasavyo, inaonekana...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Hatimaye General Yoweri Museven amepeleka Jeshi nchini DRC kumsaidia Rais Tshisekedi dhidi ya magaidi wa M23 Source Al Jazeera news
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga...
1 Reactions
56 Replies
2K Views
Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano. (1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye...
3 Reactions
15 Replies
703 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja...
1 Reactions
3 Replies
548 Views
Siasa za sasa zimekuwa na mtindo tofauti hasa katika kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa Jamii na baadae kukanushwa kwa lengo la kuwaaminisha wafuatiliaji wa mambo kuwa kilichoandikwa na kupostiwa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Chama Cha siasa huuza Sera zake na Ilani yake Kwa Wapiga Kura ambao wamejiandikisha kwa Mujibu wa Sheria Chama Cha siasa kamwe hakiwezi kuwapangia Wapiga Kura nini cha Kufanya Ndio sababu Wapiga...
3 Reactions
7 Replies
409 Views
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM ! Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni...
17 Reactions
61 Replies
4K Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa...
0 Reactions
9 Replies
573 Views
Balozi wa mazingira na mhamasishaji ndugu Michael Msechu amewatembelea wavuvi na mabaharia katika bandari ya Pangani ambapo Rais Samia anatarajiwa kukabidhi boti 80 kwa vijana moja ya kumbukumbu...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema nchi 25 kutoka Afrika zinatarajia kuhudhuria katika mkutano wa kahawa utakao fanyika nchini Tanzania kuanzia kesho Februari 21 Hadi 22 wenye...
3 Reactions
7 Replies
701 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Budapest, Hungary kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4) inayolenga kuimarisha...
0 Reactions
8 Replies
646 Views
Na katika uchaguzi mkuu wenyewe sasa, hujuma zitafanyika wazi wazi kabisa kwa wagombea uongozi wa chadema kama kulipa kisasi cha figisu na songombingo za kabokamchizi wakati wa uchaguzi wa ndani...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Kutokana na mapenzi ya mtu ikiwa wampendaye akihama chama,akifa au kushindwa uchaguzi chama kitatetereka kutokana na kusujudu mtu na si katiba,misingi na itikadi. Hii ni kwa vyama vya upinzani...
2 Reactions
6 Replies
419 Views
Wakuu, Hivi kulikuwa na haja ya watu kuitisha press kutuambia kuwa wamefikia asilimia 50 ya majukumu ya kazi yao? Kwanini wasingetupa majibu baada ya kupata majibu kamili...
1 Reactions
13 Replies
707 Views
Back
Top Bottom