Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya...
0 Reactions
1 Replies
434 Views
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia,wanawake na makundi maalum Doroth Gwajima amesema kuwa serikali inampango wa kuifanya siku ya wanaume duniani 19 november kuwa rasmi kwa maadhimisho ya siku...
1 Reactions
15 Replies
966 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Ilikuwa saa 5 usiku Machi 17, 2021. Nilikuwa ndani ya gereza la Ruanda mkoani Mbeya, selo namba 16. Kelele za selo nyingine zilinishitua. Ikizingatiwa kuwa kelele haziruhusiwi nyakati za usiku...
26 Reactions
48 Replies
5K Views
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu,ameshiriki na wananchi ujenzi wa msingi wa Zahanati ya...
0 Reactions
7 Replies
742 Views
Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi...
3 Reactions
7 Replies
733 Views
Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania. Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
CAG kwenye ukaguzi wake kwa mwaka wa fedha 2020/2021 miongoni mwa mambo mengine, alitoa hoja ya ukaguzi wizara ya Ujenzi na Uchukuzi -Mamlaka ya viwanja vya Ndege Tanzania ya kulipa fidia kwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Utopia ni delusional ya Thomas More , and it does not exist .Be informed! Suala la Mama kwenda Nairobi kumuona Lissu halina uhusiano na harakati za no reform no election . After all , kama...
20 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI...
2 Reactions
4 Replies
446 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya...
2 Reactions
0 Replies
273 Views
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa...
5 Reactions
15 Replies
748 Views
Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, Rehema Sombi wamempigia simu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakimkaribisha mkoani humo ambapo...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Paschal Mayalla I. UTANGULIZI Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022. Tarehe 20 Mei 2022...
15 Reactions
25 Replies
2K Views
Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu. Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣 Yaaani Lissu...
30 Reactions
117 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…