Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewaagiza Waajiri wa Vyombo vya Habari kuhakikisha kuwa Waandishi wa Habari wanaogombea nafasi za kisiasa wanasitisha utekelezaji wa majukumu yao ya...
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na...
Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha...
Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Iringa Ndugu Dr Daniel Mwangili ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kalenga Mkoani Iringa, Mwangili ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Luhota Jimbo la...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa...
Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the...
KILIMANJARO: Wakati Joto la Siasa likiendelea kupanda kwakasi hapa nchini kuelekea uchaguzi mkuu Octobar 2025, Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro Chifu Yuvenal Ole Shirima...
Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Iringa Fadhili Ngajilo ametangaza nia ya kutaka kugombea Ubunge Kuelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025.
Ngajilo ametoa azma yake ya kulitaka Jimbo la Iringa Mjini...
Mwanasiasa Fadhili Fabian Ngajilo rasmi amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa mara ya tatu kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari Ngajilo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Juni 30, 2025 amejitokeza kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchaguliwa kuwa mgombea...
Shirikisho la Watumishi Makada wa Chama cha Mapinduzi - CCM Halmashauri ya Mji Nanyamba, mkoani Mtwara wamemlipia gharama ya shilingi 500,000 ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge ndani ya...
Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Imma Saro, ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho baada ya kukitumikia kwa zaidi ya miaka ishirini, akieleza kuwa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Kirungi (kulia), leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya ubunge wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro.
Kirungi...
Wakuu,
Yaani katika wabunge wenye sifa huyu nae ni namba moja.
Mbunge wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu...
MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa...
Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya...
Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Khalid Shekoloa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwani kata ya Kiusa, iliyopo maanispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro
Shekoloa ambaye ni mwenyekiti...
Mwanasiasa machachari ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Sophia Mwakagenda amewatisha VIGOGO wa Siasa za Jimbo la Rungwe baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kwa tiketi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.