TLP KUUNGANA NA CCM
Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga...
Ndugu zangu poleni na matatizo ya hapa na pale ya kimaisha hasa hili gonjwa la Corona.
Mwenyezi Mungu ajalie lipite na lisilete madhara katika nchi yetu nzuri Tanzania.
Wakuu Sana Kama tujuavyo...
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM...
Huyu jamaa katika kundi lake la WhatsApp linaloshughulika na Maendeleo ya Jimboni kwake Iramba ameandika hivi:
"Hi ni nia tu, Campaign Bado.
Mimi Eng. Jumbe Katala bado nafasi yangu ya...
Tanzania ni nchi yetu sote kwa umoja wetu sisi kama watanzania, nchi hii itajengwa na kuendelezwa na watanzania wote bila kujali tofauti zetu.
Linapokuja suala la kuijenga nchi, tofauti zetu za...
Shehe wa mkoa wa Dsm, Alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya Taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.
Sheikh Salum...
Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.
Hayo yamejili Leo kwenye...
Miongoni mwa mambo yanayowatia sana wasiwasi wananchi katika kipindi hiki ni Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Ingawa Rais Magufuli umetoa uhakikikisho kwa Jumuiya ya...
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza...
Kulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha...
Hawa jamaa wa upinzani ukiwaangalia body language na matamshi yao kwa ujumla ni watu ambao kila mmoja kuna kitu anachoamini kama kipaumbele chake kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.hivyo msimamo wa...
Natoa ushauri tu kwa vyama vya Upinzani kujitafakari na kutopoteza muda na pesa kuweka mgombea urais. Hii ni kwa sababu utendaji kazi wa rais JPM tayari umeshampa ushindi mkubwa. Kudhibiti mianya...
Wafanyabiashara wa Mwanza wanaotokea Tarime Vijijini wamkataa Waitara.
Jana Tarehe 16/2/2020 Jijini Mwanza- Waitara amefanya kikao cha kampeni na wafanyabiashara wa Bwierege walioko Mwanza ili...
Uchaguzi wa mwaka huu unawatesa zaidi CCM kuliko upinzani.
CCM wanateseka hasa kuhusu idadi ya wapiga kura watakaojitokeza kupiga kura hasa ukizingatia kua uchaguzi wa serikali za mitaa ilibidi...
Sugu ni mwanasiasa mzuri. Angekuwa na akili za mahesabu, angeshaukwaa uwaziri na kutumikia wananchi wa Mbeya kwa scope pana zaidi.
Ukweli mchungu ni hawezi kushindana na CCM kama imeamua 2020...
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020, tunasikia tambo tupu toka kwa viongozi wakuu wa CCM kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo "kiama" cha Upinzani na hatutausikia tena Upinzani ndani ya nchi hii...
Mtandao huo unaongozwa na Mbunge wa Zamani Mtwara Mjini Bwana Asnain Murj, ambaye anataka kumrithisha Kijana wake Kugombea Ubunge Mtwara Mjini aitwaye Shayd ambaye pia ni Mjumbe Kamati ya Siasa...
Amani iwe nanyi nyote!
Baada ya Esther Bulaya kufunga mitaa yote pale Bunda ilikuwa ni zamu ya Esther Matiko pale Tarime,
Navutiwa sana na majina ya akina Esther tangu yule wa kwenye Biblia hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.