Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

ABC ZA 2025

JF-Expert Member
May 2, 2018
1,160
706
Wanabodi Salaam!

Sina maneno mengi tazameni huu mtiti halafu Magufuli anasema anaweza kuua Upinzani Tanzania,
#Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi
IMG-20200222-WA0158.jpg
IMG-20200222-WA0147.jpg
IMG-20200222-WA0149.jpg

IMG-20200222-WA0152.jpg
IMG-20200222-WA0157.jpg
 
Huyu binti ni jembe kweli kweli, ni mwanamke wa shoka, tena mimi najisikia very proud kum spot toka kitambo!, angalia tarehe ya bandiko hili

P
 
Elimu kwa mwanamke ni elimu kwa taifa. Hii nchi ingekua na wanawake wengi wapiganaji kama kina Ester, Fatma, Maria na wengine wasioogopa makucha ya mamlaka, wanawake waiotegemea kubebwa na kupendeleea kama kina Semenya, nchi ingepiga hatua sana.

Tatizo tuna wanawake wengi na wanaume wwngi waoga, wanaotegemea katikati ya miguu yao iwatetee.

Tuwaunge mkono wanawake wapambanaji. Wanawake aina ya Ester ni wanawake ambao natamani nikija kupata mabinti zangu wawatazame kama mifano ya kupambana,kutegemea akili zao na sio makalio au nyuchi zao.
 
Wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura 2020 ? Hebu tuanzie hapo kwanza !
Mkuu, kuna kituko kinaendelea hapa nchini huwezi amini. CCM itashinda tu sehemu nyingi sana.

Kila manispaa/halmashauri imeagizwa kuwaagiza wakuu wa shule za sekondari za serikali kuorodhesha wanafunzi wote wenye umri kuanzia 18 na wale watakaofikisha umri huo kabla ya Oct.
Orodha ioneshe taarifa zote muhimu za mpiga kura.

Kwa hiyo yawezekana kura zikapigwa mapemaa.
Tuangalie kura zetu tutazilindaje.
 
Weka hapa JF ushahidi! No blah blah ! Please!
 
Back
Top Bottom