Uchaguzi 2020 Je, nani ni nani Uchaguzi Mkuu Zanzibar?

Babe la mji

JF-Expert Member
Dec 14, 2019
983
2,053
Ndugu zangu poleni na matatizo ya hapa na pale ya kimaisha hasa hili gonjwa la Corona.

Mwenyezi Mungu ajalie lipite na lisilete madhara katika nchi yetu nzuri Tanzania.

Wakuu Sana Kama tujuavyo nchi yetu mwaka huu bara na visiwani Kuna uchaguzi mkuu na kwa bara aliepo anatosha hivyo panapo majaliwa ataendelea.

Sasa kwa vile visiwani aliepo anamaliza muda wake kikatiba ivo lazima atakuja mpya

Hapa jukwaani Kuna wajuzi wa haya Mambo sasa je ajae Zanzibari ni nani? Kaka yangu Paschal Mayala mchango wako unahitajika sana.

Kwa heshima kubwa naomba kuwasilisha karibuni wote.
 
Back
Top Bottom