Uchaguzi 2020 Mbunge wa CCM azomewa na Wananchi kwenye Mkutano wa Waziri wa Mifugo Luhaga Mpina

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
588
911
Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.

Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina. Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga amepeleka salaam za Mbunge wao Mhe Kafumu NDIPO Wananchi wakaibua mayowe kuwa "Hawamtaki na hawatamchagua tena Mwaka huu yeye na Diwani wa Igunga Mhe Bomani"

IMG-20200305-WA0136.jpg
 
Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.
Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina.
Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga amepeleka salaam za Mbunge wao Mhe Kafumu NDIPO Wananchi wakaibua mayowe kuwa "Hawamtaki na hawatamchagua tena Mwaka huu yeye na Diwani wa Igunga Mhe Bomani"View attachment 1378242
Mkutano wa Mbunge na mabendera ya CCM, huku mkituaminisha mbunge anapochaguliwa anakuwa wa vyama vyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ni kuweka wagombea wapya kila jimbo, nione mwananchi atalaumu kwa lipi.
 
Mbunge wa Igunga Dkt Kafumu Leo ametumiwa salam na wapiga kura wake kwa "zomea zomea" na kelele kuwa Wananchi wamemchoka na hawatamchagua tena baada ya kuwatelekeza.
Hayo yamejili Leo kwenye ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvivu Mheshimiwa Luhaga Mpina.
Mpina aliwaambia wananchi wa Igunga amepeleka salaam za Mbunge wao Mhe Kafumu NDIPO Wananchi wakaibua mayowe kuwa "Hawamtaki na hawatamchagua tena Mwaka huu yeye na Diwani wa Igunga Mhe Bomani"View attachment 1378242
Hii ni OG ile ya Hai ilikuwa ya kutengenezwa

Jr
 
Huyu ni yule aliyeugua muda mrefu? Nisawa kama hawamtaki wampe chakula mwingine! atapopewa mamilioni yake akayatumie kuwekeza vizuri biashara ya ubunge imeshabuma. Akajiajiri sasa asing'ang'anie binge kama kina Chenge miaka nenda kakomaliiiia huo sio ustaarabu!!
 
Wana Igunga nao ni kweli yao, huyu alikuwa bure sana, hata alipokuwa pale wizara ya madini, alikuwa useless na nla Rushwa sana, yeye na Ngeleja wote walikuwa vibaraka wa Rostom Aziz.

Wananchi wana haki hiyo. Tutaona hapa wale waliokuwa wakisema kuzomewa kwa mbowe ilikuwa ni kosa, lakini huyu mbunge wa ccm ni sawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom