Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barua ya Wazi kwa Rais Samia: Umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza viwanda vya ARV nchini Na Elia Wilinasi Sikanyika OFISI YA RAIS, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa fedha 2024/25, serikali imetoa mikoро yenye thamani ya Sh...
1 Reactions
3 Replies
402 Views
Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe...
1 Reactions
2 Replies
350 Views
Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na...
5 Reactions
4 Replies
517 Views
Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa...
1 Reactions
3 Replies
352 Views
Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii, amewashukuru wananchi kwa salamu nyingi za kheri na upendo walizozitoa katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi...
2 Reactions
13 Replies
763 Views
Siwezi kuandika hapa walichokuwa wakigombea ila itoshe kusema huyo bwanaalikuwani rafiki yake watangu utoto,diwani wamwananyamala enzi hizo,Bwana CBN,walukuwa maeneo ya Kinondoni Vijana Social...
17 Reactions
78 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la...
1 Reactions
8 Replies
614 Views
Mbunge wa Dodoma mjini na waziri wa Madini Mhe. Anthony peter Mavunde ameendelea kuigusa jamii kwa njia nyingi ambapo leo machi 19 , 2025 amesema ataendelea kufanya hivyo ikiwa ni upendo kwa jamii...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Bwana Kailima umeiona nyomi ya watu wa Dar? Nawapongeza mmeweka mashine nyingine vituoni safari hii. Ila hazitoshi tunakaa sana foleni halafu mwezi mtukufu huu shehk. Fanyeni hata mashine tano...
1 Reactions
0 Replies
233 Views
Veta ni level 1,2,3. Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma. Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree. Sasa utoke uje chini?
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko. Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Zoezi la kupiga kura linaendelea sasa hivi na malalamiko ya foleni yamekuwa mengi. Sasa kwa wale ambao wamewahi kujiandikisha kabla na unataka kuboresha taarifa au kuhama kituo kuna...
0 Reactions
4 Replies
376 Views
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi...
20 Reactions
82 Replies
6K Views
Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa Kahawa wa wilaya ya Rungwe ndani ya siku 14, baada ya malalamiko...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wananchi wa Mbeya, Rungwe wameonyesha kutoridhishwa na viongozi wa serikali na chama kwa kile walichokiita "kuingiza siasa kwenye maisha ya watu." Malalamiko haya yalitolewa Machi 18, 2025 mbele...
1 Reactions
4 Replies
563 Views
Hebu angalieni hii Unakamata wadogo wanaofanya kampeni lakini unamuacha mkubwa aliyeanza kampeni miaka miwili iliyopita huku akigawa mizawadi kibao iliyopachikwa picha zake. Au yeye...
0 Reactions
4 Replies
399 Views
Waziri wa Madini na Mbunge wa Dodoma mjini amewapatia Waalimu WA shule ya Msingi Mazengo jijini Dodoma bima ya Afya yenye Thamani ya shilingi Milioni 3 kila Mmoja. Soma, Pia: Mavunde Akabidhi...
0 Reactions
4 Replies
440 Views
Tukubaliane yakuwa serikali ya Chama Cha Mapinduzi ilipo fikia uwezo wa kufikiri kutoa ajira kwa vijana wamegonga MWAMba Uwezo wao wa kufikiria umefika mwisho Sasa wanatuelekeza wahitimu wa...
1 Reactions
12 Replies
546 Views
Back
Top Bottom