Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga...
1 Reactions
3 Replies
333 Views
Hivi kati ya Bashiru Ally Katibu mkuu wa Ccm Mstaafu na Rais Magufuli nani anabidi kubeba lawama za kuua Demokrasia na leo tunaishi kwa mashaka. Ni nani kati ya Magufuli au Bashiru aliyeleta...
0 Reactions
6 Replies
475 Views
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Hamis Tale Tale ameonyesha dhamira yake kwa kukabidhi kiasi cha Tsh Milioni 65 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa ofisi ya chama ya wilaya pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Wakuu Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi? == Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham...
2 Reactions
3 Replies
348 Views
Mh mbunge nyumbani kwenu kunakaribia kutopitika. Hebu kaa na wahusika kabla njia haijakatika kabisa.☝️☝️
3 Reactions
10 Replies
650 Views
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3...
2 Reactions
5 Replies
398 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Kwa namna system yetu inavyojihusisha na mambo ya kipuuzi ikiwemo kutengeneza moles kwenye vyama vya Upinzani makini ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi kuendelea kuitawala Tanzania na kuwanyanyasa...
2 Reactions
3 Replies
379 Views
John Mrema Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma. Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka...
2 Reactions
6 Replies
612 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka...
1 Reactions
20 Replies
999 Views
Hellow! Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu. Sasa matukio yafuatayo na...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Uchaguzi ulikuwa ukifanyika angalau kwa heshima japo kulikuwa na dosari za hapa na pale ila angalau hatua zilikuwa zinapigwa taratibu za kuheshimu maamuzi ya raia kupitia box la kura hasa pale...
3 Reactions
4 Replies
344 Views
Kampenzi kwenye Majimbo hayo zitafadhiliwa na CCM. Faida ya kuwafukuza Uanachama mapema ni kua ,Tayari watapoteza hata kidogo walichonacho !!. Kitendo Cha kuendelea kutumia Jina la CHADEMA ni...
5 Reactions
7 Replies
513 Views
TAARIFA KWA UMΜΑ Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka...
6 Reactions
14 Replies
915 Views
Mnatutia hasara sana. Kipindi cha JPM mlikuwa mnatoa taarifa siku moja kabla ya kukata umeme ,pia mlikuwa mnakwepa kukata umeme kwa kumuhofia JPM. Sasahivi kukata umeme siku nzima ni kawaida...
0 Reactions
2 Replies
396 Views
Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya...
1 Reactions
1 Replies
437 Views
Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na...
0 Reactions
2 Replies
279 Views
Niende moja kwa moja katika mada,napenda kuchukua fursa hii,Kwa kuwapongeza viongozi wandamiz wa CHADEMA,Kwa kuwafukuza wasaliti wote wa chama, Ni Bora wabaki wachache waliosafi kuliko kubaki...
1 Reactions
1 Replies
369 Views
"Nyie waandishi, hivi mmewahi kumfuata mwenyekiti wa chama mkamuuliza nia yake ya kugombea Urais aliyoandika barua ameshaituma kwa katibu mkuu? Mlishawahi kuuliza hilo swali? kwahiyo na sisi ni...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tawi la Msimbazi (maarufu Msimbazi Mama) kimemtaka mqanachama wa Chama hicho, Patrick John Asenga kuwasilisha barua ya kujieleza kufuatia taarifa...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom