Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU. NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO. Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia...
1 Reactions
9 Replies
503 Views
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa? Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja...
0 Reactions
2 Replies
380 Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa...
1 Reactions
24 Replies
824 Views
Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
26 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
15 Reactions
72 Replies
5K Views
Nimekaa na familia yangu nimeona tu nirudishe hela nilizokula. Najua haitokuwa rahisi Ila nitafanya hivyo.
1 Reactions
1 Replies
274 Views
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Bado naendelea kushauri uongozi wa CHADEMA uwafute uanachama hawa matapeli wa kisiasa wanaojiita G55. Kuendelea kuwasubirisha ni kuwapa airtime isiyoyalazima. Hawana msaada wowote kwa sasa zaidi...
4 Reactions
14 Replies
792 Views
Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa. Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk...
10 Reactions
27 Replies
805 Views
Crown Media inapaswa kuchukuliwa hatua kali na Mamlaka kwa kuruhusu watoto wadogo kuhudhuria tamasha la usiku la Utete, Rufiji, kwenye Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru. Kupitia video hizi Crown...
2 Reactions
10 Replies
784 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao. Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na...
0 Reactions
12 Replies
894 Views
Naona mchomi ameandika ktk x yake yeye ni mbunge wa chadema 2025- 2030 ili hali hajapitishwa hata chama ambacho ndio chenye mamlaka, au kuenguliwa na tume au kushindwa kabisa na ccm. Bado siwaelewi
0 Reactions
5 Replies
427 Views
Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali: 1. Nina shughuli yangu sitaki...
3 Reactions
2 Replies
521 Views
Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti...
0 Reactions
7 Replies
535 Views
Salaam wakuu, Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu. Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya...
4 Reactions
39 Replies
993 Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Jimbo la Mtama, Ambako Ile No Reform No Election inafundishwa muda huu. Baada ya Mkutano kuanza wananchi waliomba Nafasi ya Kumfuta Ubunge Nape Nnauye kwa Tuhuma...
18 Reactions
43 Replies
2K Views
Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache . Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi. Ahsante
0 Reactions
4 Replies
308 Views
Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame...
2 Reactions
10 Replies
570 Views
Back
Top Bottom