Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikiwa ni miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na urais Oktoba mwaka huu wanachama katika vyama mbalimbali vya siasa wamejitokeza kutaka kumrithi mbunge wa sasa James Francis...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
ACT-Wazalendo na Chadema, wekeni Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya siasa za nchi kwa miaka mingi sasa. Nchi hii imebariki watu wenye vipawa mbalimbali. Tasnia ya siasa imekuwa inaheshimika kwa miaka kadhaa sasa. Kipindi hiki...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh...
33 Reactions
189 Replies
20K Views
Jibu NI hakuna Jipya lolote kesho. Iwapo ataongea atazungumzia democrasia, Kisha kupigwa risasi, Uhuru na kujieleza na maswala ya kisheria ambayo hayana msaada wowote kwa mkulima wa pamba...
0 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo Wengine ni kuimba mapambio tu hakuna namna!
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Niseme tu kuwa sijatumwa na mtu yeyote kuleta uzi huu hapa Jamii forum ila ni utashi wangu binafsi kwa namna vile namfahamuatajwa happy just. Kibondo Kama Jimbo muhimu la uchaguzi katika mkoa wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Iko wazi kwamba wadhamini wa Tundu Lissu katika ile kesi ya uchochezi inayomkabili wameiomba mahakama iwaruhusu wajitoe. Mahakama imewataka wadhamini wamkabidhi Lissu mahakamani ndipo wajitoe...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika? Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*" Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi naona hvyo na usiniulize kwa nini!
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Niliwahi kuandika kuhusu nia ya Lissu kuutaka Urais wa Tanzania 2020. Huenda chama chake kikampitisha 2020 badala ya Msigwa. Huyu ni msomi mzuri, ni mwanaharakati na ni mpinzani haswa haswa. Kwa...
9 Reactions
110 Replies
11K Views
Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania...
16 Reactions
172 Replies
16K Views
Kamata Kamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa. Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku uchaguzi itakuwaje ?
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na...
14 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni kawaida mtu anayeomba kuwa Mwakilishi wa watu hutumia lugha ya ushawishi kwa lengo la kutafuta imani toka kwa watu anaotaka kuwaongoza. Huu ndio uhalisia kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Wana CCM wengi sana wanatamani kwa mtizamo wao ghushi na uliojaa ugoto katika kufikiri, kuwa John Magufuli asipingwe na mgombea toka CHADEMA. Wao wanadai kwa aliyoyafanya Magufuli kama Rais wa...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Taarifa hii imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar Mh. Salum Mwalimu Mjini Zanzibar alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari. ===== TAMKO LA KUTANGAZA NIA KUWANIA...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom