Uchaguzi 2020 Kwa mara nyingine CHADEMA hawana pesa za kampeni kama 2015

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,894
22,657
Ukisikia CHADEMA imesusia uchaguzi sio kwa sababu ya tume huru au sio huru kuna jambo limejificha na sasa wabunge wanaojiandaa kuondoka wanatoboa siri kuwa kuna ukata wa hali ya juu chamani na hawana pesa hata ya mafuta ya kumzungusha mgombea wa urais.

Madai kuwa pesa za chama hazijulikani zilipo na madeni juu zimeibuka upya kuhusu kama mwaka 2015 ambapo CHADEMA ilibidi wawapige vikumbo wagombea wa ukawa Professor Lipumba na Dkt. Slaa na kumwangukia Lowassa aliyedhamini campaign ndani ya wiki mbili tu akitokea CCM.

Baada ya dili la membe kuloga ambaye walitegemea atumie alichonacho sasa hali ni tete na hawajui wafanye nini.

My take: Wameshindwa kabla ya kuanza.

Kabla refa hajapiga kipyenga wameshashindwa.Mbaya sana hii.
 
Basi hongereni CCM kwa hili,mtapira bila kupingwa,Kila mwanachama wenu atakuwa tajiri, USSR@Bia yetu,Kawe yetu .etl hamnata hangaika tena 7,000/- kwa siku kwa kuwa mtakuwa na fedha za kutosha
 
FB_IMG_1591384155354.jpg
 
watembeze bakuli kwa mazezeta wao,ruzuku inaingia 326m kwa mwezi,wabunge wao wanakamuliwa kila mwezi.Hela yote hiyo inakwenda wapi? Nitaongea vizuri na kamanda mbowe anioneshe mganga aliyemtumia kuwaloga hadi mkawa wapole namna hii hata hamhoji hela inapokwenda 😂😂😂😂
 
Mleta mada nakuunga mkono .Tatizo chadema walikuwa hawarejeshi ripoti kwa wafadhili za matumizi ya pesa zao

Watu waliokuwa wakiingiza pesa chadema za kampeni nyingi Ni Hawa kwanza ni bilionea marehemu Ndesamburo na marafiki zake

Pili kwa pesa za nje za kigeni alikuwa DR Slaa na marafiki zake wa nje
Tatu ni Lowasa na team Lowasa matajiri wa kufa mtu wafanyabiashara wakubwa wa Dar na Arusha na mafisadi wenzie waliokuwa serikalini na wezi wa pesa za serikali kutoka sekta binafsi nk
 
Back
Top Bottom